Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

this is an example of world class Electric BRT with matching infrastructure around it. Kuna miji mengine ambayo ina bodaboda, tuktuk,mkokoteni, punda, watu kwenye lanes za BRT ila hatuwezi pumua kwa sifa wanazoipa
Not congested, neat, no fighting and entering through the windows, courteous people.. damn!

View: https://youtu.be/pwEqG0G3wRg?si=JWDS41JpXvdlkG85

Ya kwenu iko wapi hata iwe na yale makorokoro yenu mnaita matatu? Yaani wewe/nyunyi ni kama yale matoto ambayo utotoni yalikuwa hayana toys yanabaki kusema 'toy lako baya'...jihu lake huwa 'BABA YAKO ANALO?
 
This is what KRA collected at Mombasa Port in 6 months alone, in one year they did $4B. How much revenue does Arusha generates in a year?

View attachment 3200046
Ila wewe umepiliza aisee 😂😂😂 huo si uongo hii ni Laana 👇🏾
IMG_3674.jpeg
 
Ya kwenu iko wapi hata iwe na yale makorokoro yenu mnaita matatu? Yaani wewe/nyunyi ni kama yale matoto ambayo utotoni yalikuwa hayana toys yanabaki kusema 'toy lako baya'...jihu lake huwa 'BABA YAKO ANALO?
Naona dawa imeingia vizuri
Aren’t you the ones comparing our stadium with Rwanda’s?
Watch and learn to be civil 😂😂😂
 
First, that’s a revenue for only 6 months.
Secondly why are are showing me your calculations instead of showing me Arusha revenue?

Za Arusha imefika hata $10M kwa mwaka?
1.5 billion tunakubaliana. .? Kwahiyo kama itafika mwaka kwa trend hiyo hiyo that’s 3 Billion. 😂😂 hii ni kutoka port mombasa the biggest source of mombasa revenue. Kwishaa. 😂😂😂
 
1.5 billion tunakubaliana. .? Kwahiyo kama itafika mwaka kwa trend hiyo hiyo that’s 3 Billion. 😂😂 hii ni kutoka port mombasa the biggest source of mombasa revenue. Kwishaa. 😂😂😂
Ya Arusha nimesoma mahali ni Tsh 16B. That’s less than Ksh1B and less than $9M. So Mbona unapiga kelele hapa kulinganisha revenue ya $3B kwa mwaka from port alone na Revenue ya $8M from entire Arusha region? Na ujue hiyo report ya Mombasa ni ya 2020.
 
Just two of several 100k seaters that will not even host the World Cup next year … I have been to Buckeye stadium, Ohio…first one is Beaver stadium in Pennsylvania…second one is Buckeye Ohio ( both seats over 100000).. View attachment 3199894
View attachment 3199891
Viwanja vzr ila ni vya kizamani japo kwako unaona vya kisasa cz huna exposure, and it's because you are from shit country yenye viwanja vya jukwaa moja. Jaribu ku Google viwanja vya mpira vya china ndiyo utajua kwann US hawatovitumia hivyo kwenye WC, ila pia Wakenya mnaweza kwenda kuomba viletwe kwenu kama mlivyoomba mabanda ya Qatar, ombaomba country.
 
Eti Dollar milionaire, yn huko ndiyo wasiguse kabisa kwa Arusha.
Wewe watchman maskini unajua nini kuhusu hela?

Ukipata Arusha hapa niambie nifunge account yangu ya JF. Mombasa has 800 dollar millionaires, Arusha iko na ngapi? Remember entire Tanzania only have 2000 millionaires of which 1300 of them are in Dar. The remaining 700 are distributed all over the country so if you ask me I can confidently say Arusha only have 12 dollar millionaires.

1736721963730.jpeg

1736722050642.jpeg
 
First, that’s a revenue for only 6 months.
Secondly why are are showing me your calculations instead of showing me Arusha revenue?

Za Arusha imefika hata $10M kwa mwaka?
Fool, How far r u sure the next 6 months will yield the same amount?
 
Back
Top Bottom