Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And it handles 83% capacity of all Tanzanian total container volumes 😂😂
Mombasa port probably handles less than 80%, there’s other ports like Kilindini, Lamu, Malindi, Shimoni, Vanga, Mbita, Kisumu Pier etc
For the past two months hardly less than 5 ships have docked in malindi
 
Hio parking ni ndogo sana, huwezi elewa ju wengi wenu hamna magari. Kasarani ina parking spaces tatu na zote hujaa. Makwapa ina moja tu.
Wewe kocho kwani hapo magari yameanza kupaki leo.? 😂😂 tushahost mashindano makubwa Africa hadi raisi wa FIFA alikuepo na uwanja ukapiga full house kama kawaida 60k spectators, uliwahi kuskia parking haitoshi.? 😂😂 una force mambo mbona we chizi.? 👇🏾
View: https://youtu.be/uvWz5we1J4k?si=1yT2OMRuKweAlrCd. Umia kidogo hebu.
 
Like seriously.? 😂😂😂 unaleta takatakaulinganishe na masaki.? This neighborhood of yours is full of duty roads udongo mwekundu umetawala, no sidewalks.
Umeona maghorofa zimetapakaa huko bila mpangalio? Umeona tuktuk zikirandaranda huko? Umeona kama kuna uhaba wa side walks? Umeona kama kuna nyumba imekosa house number? Tulia mfunzwe.
 
Umeona maghorofa zimetapakaa huko bila mpangalio? Umeona tuktuk zikirandaranda huko? Umeona kama kuna uhaba side walks? Umeona kama kuna nyumba imekosa house number? Tulia mfunzwe.
Let alone house number, hakuna nyumba yenye haina namba TZ (hadi zile mnazozibeza za uswazi ziko na namba). Hapo kenya kuna kitu kama hiki. 👇🏾
IMG_3638.jpeg
hizi signage zipo in every single street that is found in Tz. 😂😂😂 hadi vijinini huko
 
Let alone house number, hakuna nyumba yenye haina namba TZ (hadi zile mnazozibeza za uswazi ziko na namba). Hapo kenya kuna kitu kama hiki. 👇🏾View attachment 3196792hizi signage zipo in every single street that is found in Tz. 😂😂😂 hadi vijinini huko
Hizi munaweka na Dar is a slum imejaa vichochoro. Joke of the century. 🤣 🤣 🤣
 
Sasa sio Dar tu in case u don’t know, they’re all around the country 😂😂 yani hadi vijiji za kigoma huko utapatana nazo.
Unadhani hatujui, si tulikua hapa tukiona wengine wengine wakiweka hadi za miti, na kujiwekea majina za kushangaza. That's not how an address system works. Hua munapenda kufanya vitu kienyeji sana huko bongoslum.
 
Unadhani hatujui, si tulikua hapa tukiona wengine wengine wakiweka hadi za miti, na kujiwekea majina za kushangaza. That's not how an address system works. Hua munapenda kufanya vitu kienyeji sana huko bongoslum.
So kuwa na namba ya nyumba tu ni better kama mlivyokua huko kwenu.? 😂😂 and how can someone address mtaa fulani without having those signage.? Hizi zipo ulimwenguni kote ispokua taifa la kimaskini Kenya (coz you can’t afford) 😂😂duniani huko 😂
IMG_3639.jpeg
 
Back
Top Bottom