GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 777
- 2,012
Halafu unaweza shangaa usiyaone tena hata kwenye mitaa ya NBO😀Assembled in Kenya by Isuzu and LSHS
![]()
![]()
![]()
Halafu unaweza shangaa usiyaone tena hata kwenye mitaa ya NBO😀Assembled in Kenya by Isuzu and LSHS
![]()
![]()
![]()
Hujui maana ya kichaka bro, chill. 😂😂Hio ni kichaka, huoni vile ni kubwa hata mtu anaweza jificha hapo.
Wakenya bhana!!! 😀 😀 😀Kipchoge Keino Stadium in Eldoret has been closed for extensive renovation and will serve as a backup venue for AFCON 2027.
View attachment 3196923View attachment 3196924
Hizi munaweka na Dar is a slum imejaa vichochoro. Joke of the century. 🤣 🤣 🤣
WretchedKipchoge Keino Stadium in Eldoret has been closed for extensive renovation and will serve as a backup venue for AFCON 2027.
View attachment 3196923View attachment 3196924
Assembled haha,Assembled in Kenya by Isuzu and LSHS
![]()
![]()
![]()
Vitu Hanspaul Arusha wanafanya kwa miaka mingii..!Assembled in Kenya by Isuzu and LSHS
![]()
![]()
![]()
Tulia, hizi sio tour vans we mzee.Vitu Hanspaul Arusha wanafanya kwa miaka mingii..!
Kenya is just developed online full stop.Kaka ni aibu kila siku wanazidi kuumbuka.Wamepata hasira na kuhuzunika sana baada ya hii video kuwekwa hadharani hapa, sijui kale kabehewa kakupigia picha kanakuwa wapi muda huu maana ni kamoja tu. Janja janja tu. kwa hiyo waheshimiwa wanasubiri kama kako Mombasa basi mpk kaje Nairobi ndo wasafiri Wakenya acheni janja janja, sirikali inawatapeli mchana kweupe 😀 Lile ni behewa la kupigia picha za propaganda na wajinga wanaamini.
Hii yote ni projection ju ya train yenu ya kifafa kushinda imekwama kila siku. 🤣 🤣 🤣 Na bado itaendelea tu kukwama.Kenya is just developed online full stop.
Yaani hio SGR yao ni Failed project na wao wanajua. Hio coach ya sijui VIP ni train sijui moja tu lakin wanavyoitangaza utafikiri ni seti nzima ya treni kama huku EMU.
Kama SGR yao inasafirisha mizigo Efficiently kwa nini mombasa road bado ina maroli ya kutosha, accidents na mbaya zaidi wanaomba kipenzi chao US awajengee Expressway kutoka Mombasa na Nairobi...je mchina atakubali iharibu soko la SGR kabisa?
Halafu vijiji vingi katika kaunti za Makueni, kwale na sehemu nyingi Coastal kenya zina nyumba za udongo nyingine zina mapaa ya nyasi...
Mombasa kuna slums kibao Nairobi ikasome...
Kama wanabisha wareply hapa niwaumbue....m
Noma 😂Kenya is just developed online full stop.

Nyie ni laggards!Tulia, hizi sio tour vans we mzee.
Natumai mitaa ya naikundu itakua misafi sasaAssembled in Kenya by Isuzu and LSHS
![]()
![]()
![]()