Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,314
- 18,156
Ziko nyingi hazihesabiki🤣🤣🤣Waambie wakuoneshe yale mabanda wanayooneshaga yako wapi hapa 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3196615
Ziko nyingi hazihesabiki🤣🤣🤣Waambie wakuoneshe yale mabanda wanayooneshaga yako wapi hapa 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3196615
Utaelewaje na wewe ni watchmanKwenda zako huko, hakuna sarcasm pale, lugha ya watu hii wacha kujifanya mjuaji.
Picha ya umbali wa more than 100km, cheki hapa ni less than 10km from CBD 👇👇Built right inside a slum
View attachment 3196616
Mm na wewe nani anafanya kazi getini, sema suuu niweke picha yako hapa ukiwa getini na zile picha zako za Facebook ili watu waone ulivyoparara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utaelewaje na wewe ni watchman
Unaumia ukiwa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ziko nyingi hazihesabiki🤣🤣🤣
View attachment 3196617
Umesnza kuokota picha?Kenya is dead.
View attachment 3196620
Mm na wewe nani anafanya kazi getini, sema suuu niweke picha yako hapa ukiwa getini na zile picha zako za Facebook ili watu waone ulivyoparara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
100km siyo?🤣🤣🤣Picha ya umbali wa more than 100km, cheki hapa ni less than 10km from CBD 👇👇View attachment 3196621View attachment 3196622View attachment 3196623
Ni kweli hamna development cz development sio kujenga vijengo viwili vitatu, hata Somalia pia wanajenga, so mbele ya Somalia huwezi kusema ume develop, ili u develop inatakiwa uwe na new technology pia uwe na infrastructures za kisasa kweli kweli, you don't have development as far as Tanzania is concerned. Kawaambie Burundi maneno hayo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatuna development
Hizo ni sura mbovu za wakenya. Do Kenyans get a full meal? 🤣 🤣 🤣 🤣Umesnza kuokota picha?
Ile CBD yenu uchwara ambayo haina proper parking spaces.Nmecheka sn, yn sisi tunapiga CBD wao wanacheza na nje ya dar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ile CBD yenu uchwara ambayo haina proper parking spaces.
Lakini hii parking ya makwapa imechapa, it's poorly designed, alafu ni ndogo sana. Hapa fainali itakua ngumu. 🤣 🤣Unaumia ukiwa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3196624
Kawaambie CAF waliosema ndiyo uwanja bora EA usinililie mm tafadhali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lakini hii parking ya makwapa imechapa, it's poorly designed, alafu ni ndogo sana. Hapa fainali itakua ngumu. 🤣 🤣
Hawa ni mbwa sanaa, wanapambana ili tulingane.Dah kumbe jamaa wana kijiba cha Roho na SGR hivi hadi kujitolea kuhujumu miundombinu yake?
![]()
NTV Kenya: Kenyan among 15 arrested over Tanzania SGR vandalism
At least 15 people have been arrested for allegedly vandalising standard gauge railway (SGR) and electricity infrastructure. Those...ntvkenya.co.ke
Reality kwa ground …😃😃😃Unaumia ukiwa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3196624