Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mji Africa ukakosa mashamba, sijajua labda Joburg but napo ni Africa tu kuna wasaka tonge kama kawaida, hao wasenge wanaposema Nairobi hakuna mashamba so, wanataka kuongopa kwamba kumejengeka kote? Hivi hawa jamaa mara ngapi humu zimepostiwa picha za mashamba pale slum city, au hawaelewi maana ya shamba, mana kwao shamba wanamaanisha kiwanja, je kwao hakuna viwanja viko empty? Wasenge tu hao.
Ningependa kujua grade yako ya high school kwa sababu ni kama haujui kufualitia maagizo ama kuwa makini
IMG_9653.jpeg
 
You want to come in very late to the party and claim to be the king that no one asked 😂😂 what a strategy.
heads up, you won’t be winning any medals let alone breaking any records. Been there, done that.
Iko wapi hiyo commercial logistic center yenu yenye you have before and it’s bigger than what we are building .?? Wher is it.? 😂😂😂 mana tu Mechoka kuskia empty talks. Now show us.
 
So player mmoja pekee na ni Goalkeeper mwenye hata hakupata tisho lolote.......yani hata tungecheza bila keeper tungeshinda tu. 😂 😂
Mnapenda kutafuta excuses pale mnapopigwa.
Si umesema hamna yoyote wa first team now unachichekesha nini?
 
Iko wapi hiyo commercial logistic center yenu yenye you have before and it’s bigger than what we are building .?? Wher is it.? 😂😂😂 mana tu Mechoka kuskia empty talks. Now show us.
China Square tayari wakona branches sita nyinyi munatupigia kelele ju ya duka moja in dar is a slum. Na munajegengewa stalls. You are very late to the party.
 
China Square tayari wakona branches sita nyinyi munatupigia kelele ju ya duka moja in dar is a slum. Na munajegengewa stalls. You are very late to the party.
Iko wapi mkuu, we also have china plaza in Dar bro, so many businesses in there, Tu nataka tuone hiyo commercial and logistic center which you claim it to be bigger than ours. Iko wapi.? 😂😂😂 sio kelele kibao wa pumbavu nyie.
 
China ni safari ya ndani, Dubai ni safari ya ndani, India ni safari ya ndani, SA ni safari ya ndani, Zimbabwe ni safari ya ndani, Zambia ni safari ya ndani, Congo ni safari ya ndani, Uganda ni safari ya ndani, Comoro je. The problem with you Jaluo ni jealous.
Ina maana anakubali kuwa kenya iko ndani ya Tanzania maana ATCL inaenda Naipori pia. Hawa tayari washajaa kwenye mfumo 🤣🤣🤣
 
Iko wapi mkuu, we also have china plaza in Dar bro, so many businesses in there, Tu nataka tuone hiyo commercial and logistic center which you claim it to be bigger than ours. Iko wapi.? 😂😂😂 sio kelele kibao wa pumbavu nyie.
Mkifinywa lazima you twist the narrative, mlisema tutakua tunakuja ubungo kununua Chinese goods. Tukiwaambia hio ni ndoto ju tukona China Square malls in Kenya unaanza kusema we claimed our mall is bigger. Fact is we have our malls for buying Chinese products all under one mega store not tiny stalls.
 
Back
Top Bottom