Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaumia ukiwa wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3196624
Reality kwa ground …😃😃😃
IMG_5548.jpeg
 
Narudia, I can bet in my life wewe hujawai fika hata Namanga.
Wapi nisifike? Namanga, Kajiado, Athi River, South C, langata, South B, CBD, Wastelands, Eldoret, Nyaruhuru, kiganjo, nyeri nanyuki meru, thika mombasa, malindi Nakuru just name it.
 
Wapi nisifike? Namanga, Kajiado, Athi River, South C, langata, South B, CBD, Wastelands, Eldoret, Nyaruhuru, kiganjo, nyeri nanyuki meru, thika mombasa, malindi Nakuru just name it.
Wastelands you say. 🤣 🤣 🤣
 
Wapi nisifike? Namanga, Kajiado, Athi River, South C, langata, South B, CBD, Wastelands, Eldoret, Nyaruhuru, kiganjo, nyeri nanyuki meru, thika mombasa, malindi Nakuru just name it.
Kutajataja majina sio kufika bradhee. Hata majina yenyewe huyajui vizuri, eti Nyaruhuru, eti Wastelands. 😂😂Kuna wenye husema humu wamefika Kenya na huwa sipingi maanake najua jinsi watu waliotembea wanavyoongea. Shida yenu Kila mtu anataka tuamini ametembea Kenya wakati hata nchini mwenu hamjatembea. Mwengine hapa alishinda kusema Kenya anaijua kama tu wewe alafu anadai eti Moshi ni mji wa mpakani kisha anaweka picha ya Illasit eti hapo ndio Moshi border. Yani Tanzania yake hajaitembea alafu Kenya ndio aitembee? Tafuta pesa utembee uache kuota.
 
Itakapofika 2070 mkibahatika kuwa na electric train bado kwenu itakuwa new technology na mtalazimika kuja kuchukua ujuzi huku mtake msitake.
Ni kama wewe ume discover the term “technology” just the other day, vile unai misuse… rada?
 
Huyu chizi baada ya kuona picha yake nikaanza kufanisha post zake na muonekano wake. Jamaa kapigika sana na maisha
Wakenya wengi wameparara sanaa mkuu, kuna mmoja picha yake akimuuguza baba yake iliwekwa humu, aloo kama mhadzabe aisee, mwengine anatokea mombasa ana swagz za kishamba kinoma, ana virasta vyake uchwara utacheka ukimuona, lkn wakijificha nyuma ya keyboard unaweza dhani wote wametusua, yule mwingine ana macho mekundu kama mchawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom