Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is very far from the stadia we Lia tu mzee 😂😂
No words needed … debunked!
IMG_5548.jpeg
 
Wanaongea wenyewe 🤣🤣🤣
 
Kutajataja majina sio kufika bradhee. Hata majina yenyewe huyajui vizuri, eti Nyaruhuru, eti Wastelands. 😂😂Kuna wenye husema humu wamefika Kenya na huwa sipingi maanake najua jinsi watu waliotembea wanavyoongea. Shida yenu Kila mtu anataka tuamini ametembea Kenya wakati hata nchini mwenu hamjatembea. Mwengine hapa alishinda kusema Kenya anaijua kama tu wewe alafu anadai eti Moshi ni mji wa mpakani kisha anaweka picha ya Illasit eti hapo ndio Moshi border. Yani Tanzania yake hajaitembea alafu Kenya ndio aitembee? Tafuta pesa utembee uache kuota.
Pumbavu nyie mimi nimeacha mbegu huko kwenu nisipajue kivipi?
 
Wewe kocho kwani hapo magari yameanza kupaki leo.? 😂😂 tushahost mashindano makubwa Africa hadi raisi wa FIFA alikuepo na uwanja ukapiga full house kama kawaida 60k spectators, uliwahi kuskia parking haitoshi.? 😂😂 una force mambo mbona we chizi.? 👇🏾
View: https://youtu.be/uvWz5we1J4k?si=1yT2OMRuKweAlrCd. Umia kidogo hebu.

Anajua hadi Simba Nguvu moja na Ubaya Ubwela huyo raisi wa FIFA🤣🤣🤣
 

View: https://youtu.be/QSYd9VEkAXM?si=poMH6apaJ-7jtxhP

View: https://youtu.be/5nTFg8CMiS8?si=PbUIYISLL3mHUSvz
Aisee nisikie tena mtu anaongelea Mombasa hapa tena dah! Wakenya kama hili ndo jiji lenu la pili aisee hapana😩😩, stesheni imeshaanza kuchoka viti vya kusubiria treni, viti vya ndani ya treni mmh!

😀😀😀😀 kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
 
😀😀😀😀 kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
Nishasemqga hapa kuwa hii kutoboa kwa masaa matador haiwekani
 
😀😀😀😀 kumbe ndio maana hawapost hicho kituko! Train speed 97kph kuna truck imepita iko faster kuliko train. Muda wote nasubiri train ichanganye nione mwendo mpaka inafika nasubiri tu
Kaka ni aibu kila siku wanazidi kuumbuka.Wamepata hasira na kuhuzunika sana baada ya hii video kuwekwa hadharani hapa, sijui kale kabehewa kakupigia picha kanakuwa wapi muda huu maana ni kamoja tu. Janja janja tu. kwa hiyo waheshimiwa wanasubiri kama kako Mombasa basi mpk kaje Nairobi ndo wasafiri Wakenya acheni janja janja, sirikali inawatapeli mchana kweupe 😀 Lile ni behewa la kupigia picha za propaganda na wajinga wanaamini.
 
Back
Top Bottom