President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,769
- 89,793
Uzuri dunia yote imeshatambua kuwa kenya is a hopeless country.I picked on Karen coz that's what you mentioned in your comment. Unakataa maneno yako mwenye?
Uzuri dunia yote imeshatambua kuwa kenya is a hopeless country.I picked on Karen coz that's what you mentioned in your comment. Unakataa maneno yako mwenye?
Dunia ya Tandale Kwa mfuga mbwa ama dunia ya Chang'ombe?Uzuri dunia yote imeshatambua kuwa kenya is a hopeless country.
Ndege hazitoshi recently received 787 ndio itakuwa inaenda Europe tuko mbioni kukamilisha vibaliAliyezuia ATCL kuwa na destinations nyingi ni nani? Si ndege mnazo? What kind of excuse is this?
sisi hatuzungumzii mambo ya supermarket sisi tunazungumzia kua hii ndio itakua china ya africa 😂😂👇🏻👇🏻👇🏻Unanionyesha nini na China Square Wanafungua branch yao ya nne Nairobi na tayari wako Kisumu na Mombasa, nimekuambia wewe ni mwenda wazimu. Tuwache malls za China Square Kenya tukuje kununua vitu kwa stalls bongoslum. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tema hio jaba.
![]()
Kwani hujaona mashamba Karen na Runda?I picked on Karen coz that's what you mentioned in your comment. Unakataa maneno yako mwenye?
nazungumzia kwanza CHAN achana na AFCON 😂😂😂😂😂We will host AFCON upende usipende. Na kama Unataka kujua how powerful Kenya is then ngoja uone that tournament being postponed when Kenya will no be ready yet ikifika Feb.
IMF na all International Organization zinajua, Kenya is a hopeless Country kama huamini kamuulize Ruto aka Kasongo atakupa jibu hili hili.Dunia ya Tandale Kwa mfuga mbwa ama dunia ya Chang'ombe?
jibu ni kua serekali haikua na maeneo katikati ya miji ndio maana station zimepelekwa maporini sio mombasa wala nairobi 😂😂😂😂😂 alaf unaleta hoja imedhoofika kama mkojo wa shogaYemeni boy …strategic infrastructure is not your cup of tea….Let me enlighten you … if you want to open up areas outside of urban centers and set economic development rolling, you build infrastructure there …these you are calling misitumi stations will be the catalyst than will empower new developments… especially the Mombasa one was a genius move … watch and learn….
We msenge kwetu ni new technology ila kwenu bado hata haijaanza kutumika, so hamna hadhi hata ya kuiita new technology, mpaka pale mtakapoanza kuitumia. Na ni lazima mje kujifunza huku mana kwenu itakuwa ni new technology ila kwetu haitokuwa hivyo, the same applies to brt huko kwenu. Tumewaacha mbali sn.Eti treni yenu ni new technology?🤣🤣🤣
How is electric train concept a new technology in today's world? Unajua zilianza kutumika lini? Wewe kweli bwege
Sio 16, ni 18 lane road, angalia vzr na uwache wivu. Hizo za pembeni zipo tatu kulia na tatu kushoto, za kati zipo 6 upande mmoja na 6 upande wa pili. Tumewaacha mbali.This road is 16 lanes? Where? 😂😂
Kwanza anaonekana hajui hata mjadala unahusu nn, aliposema kibira kuna majengo mengi nikaona kinyaa hata kumjibu.Zuzu kunyan kaja na ID mpya,hakuna m TZ atakaeita kibera kibira,kunyan ndio uuita hivyo,aliponiquote nilimpuuza ndio maana
Kenyans really despises Tanzanian league, only rejects ndio wana Kubali kuenda Tanzania.
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1876507604484042818
Duh sikujua kumbe watu wajinga humu, umefatilia hata hiyo michuano ilivyo?Naskia leo Footballing nation wamefirwa na Non footballing nation tena kwao. 😂 😂
View attachment 3195249
Sio kweli, kule Zanzibar kwenyewe mchezaji bora aliyeenda ni mmoja tu Fei, wengi hawapo kule mfano Bacca na Mudathiri ambao wapo kwenye michuano ya CAF hawawezi kushiriki ndondo cup, hao wakenya ile ndiyo team yao taifa na ndiyo mana hawakupata nafasi ya kwenda afcon, just imagine ile ndiyo team yao ya taifa wakati Tanzania kapeleka vilaza, hata Burkina Faso kapeleka grade ya chini mana huwezi kumtoa Aziz ki Yanga akacheze michuano ya mapinduzi.Hamtawaweza wale ndio wameshikilia Timu yetu
Which Sport is Tanzania good at? Ama tungoje uchawi?
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1876692213289115653
So, unataka kulinganisha Tanzania na Kenya? Tunawaliwaza tu humu but no comparison, hata wewe ukifa ukaambiwa uchague uzaliwe Tanzania au Kenya hutakubali kufanya kosa la pili tusidanganyane.Dunia ya Tandale Kwa mfuga mbwa ama dunia ya Chang'ombe?
Wacheni excuses, hata sisi lineup yetu haikuwa na first team hata mmoja. Unaongea ni kama huwa mnatupiga tukikutana.Duh sikujua kumbe watu wajinga humu, umefatilia hata hiyo michuano ilivyo?
Mnacheza na Kilimanjaro Heroes mnajua hata ni timu gani?
Eti hakukua na first team hata mmoja wakati mmepeleka kipa wa first team pamoja na beki? Tena kucheza na kipande cha Kilimanjaro heroes.Wacheni excuses, hata sisi lineup yetu haikuwa na first team hata mmoja. Unaongea ni kama huwa mnatupiga tukikutana.
Ukiwauliza wanafikiri wamecheza na Taifa Stars 🤣🤣🤣Duh sikujua kumbe watu wajinga humu, umefatilia hata hiyo michuano ilivyo?
Mnacheza na Kilimanjaro Heroes mnajua hata ni timu gani?