Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas Teargass nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker

HII HAPA MICHEZO INAYOFAHAMIKA CAF NA FIFA 👇 👇 👇

1736274527795.png
 
Mgonjwa anatapika …do you know history ?… do you really want me to post picha ya game ya Yanga vs Simba in the 80s huko Uwanja wa Taifa ….thanks to the internet… we will expose you … I will spare you the embarrassment for now …. And back then , Kenya 🇰🇪 had Kasarani and Nyayo Stadium… you had nothing to brag about stadiums …Chinese saved your face in 2007.
Upuuzi mtupu.
 
Wanafaa kujua hii itakua a sports city, already kuna golf course, horse racing track, motocross, rugby pitch, polo field, padel court, shooting range etc.
You remind me of this hahaha,

Kauwanja kenyewe mnajengewa kwa msaada toka China kwa 100%,
Your poor heavenly indebted broke Kunya can’t even pay teachers’ wages😀😀😀
8B617653-F669-4370-ACFA-3FDB4272817B.jpeg
 
You remind me of this hahaha,

Kauwanja kenyewe mnajengewa kwa msaada toka China kwa 100%,
Your poor heavenly indebted broke Kunya can’t even pay teachers’ wages😀😀😀
View attachment 3195268
China hua hawatupei vitu vya bure, hio ni tabia yenu ju wanajua nyinyi ni wavivu na munapenda tabia ya omba omba.
 
Ako busy kutupostia hapa games za watoto. Na national team yao inanyonya kama kawaida. 🤣 🤣 🤣 Football Nation nyef nyef.
Nyie ni wendaazimu? National team iko wapi pale? Timu nzima nitajie mchezaji hata mmoja anayeanza taifa stars pale, wachezaji wa stars kikosi cha kwanza wote wapo kwenye vilabu vyao wanacheza michuano mikubwa, nyie wachezaji wenu wote mmewaita wakacheze ndondo cup mpaka MVP wa ligi yenu jua kali na top scorer wote mmeita kwenye ndondo cup just imagine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Na bado mnajisifia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huwa wananifurahisha, mara eti Wakenya wanaringa na lugha ya Mkoloni alafu Mtanzania mmoja akiongea kiingereza vizuri hatupumui. 😂
Same way they talk shit about America yet they can’t stop comparing their dusty towns to America… Juzi si walisema Tanzania ni kama Alaska …🤣🤣🤣🤣
 
You remind me of this hahaha,

Kauwanja kenyewe mnajengewa kwa msaada toka China kwa 100%,
Your poor heavenly indebted broke Kunya can’t even pay teachers’ wages😀😀😀
View attachment 3195268
Unajisahaulisha kwamba makwapa ilikuwa Msaada kutoka kwa mchina. Sisi tunajenga kwa pesa zetu, ligi yenu ni Burundi
 
Back
Top Bottom