Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,123
Lipeni mkopo wa Afriexim bank kwanza halafu ndio muongee! As far as i know Air Tanzania is way above KQ!ATCL ina safari ndefu kufika mahali KQ iko
Leta nioneKwani hujaona mashamba Karen na Runda?
Way above KQ wakati imebakisha kupiga safari za ndani kama daladalaLipeni mkopo wa Afriexim bank kwanza halafu ndio muongee! As far as i know Air Tanzania is way above KQ!
No wonder you are using a small I to denote yourself, ju wewe ni fala.Lipeni mkopo wa Afriexim bank kwanza halafu ndio muongee! As far as i know Air Tanzania is way above KQ!
IMF ya Mazense ama gongo la mboto?IMF na all International Organization zinajua, Kenya is a hopeless Country kama huamini kamuulize Ruto aka Kasongo atakupa jibu hili hili.
Penda kwenu msee. 🤣 🤣 Ebu ona Makwapa stadium and neighboring slums.Weka barabara za chini Kuna kitu nimekumbuka
Passengers Lorry I guess 🤣🤣🤣🤣View attachment 3195541
Kwa kizungu hii inaitwaje,naomba msaada
sisi hatuzungumzii mambo ya supermarket sisi tunazungumzia kua hii ndio itakua china ya africa 😂😂👇🏻👇🏻👇🏻
View: https://www.instagram.com/p/C-ubbLmoETh/?igsh=eWVobDd1Z2xmdzI5
China ni safari ya ndani, Dubai ni safari ya ndani, India ni safari ya ndani, SA ni safari ya ndani, Zimbabwe ni safari ya ndani, Zambia ni safari ya ndani, Congo ni safari ya ndani, Uganda ni safari ya ndani, Comoro je. The problem with you Jaluo ni jealous.Way above KQ wakati imebakisha kupiga safari za ndani kama daladala
😂😂😂 umevuta nini? Show me 18 lanes tafadhaliSio 16, ni 18 lane road, angalia vzr na uwache wivu. Hizo za pembeni zipo tatu kulia na tatu kushoto, za kati zipo 6 upande mmoja na 6 upande wa pili. Tumewaacha mbali.