The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Nitajie hao wachezaji wenu walioko ulaya.Wachezaji wetu wako ulaya. 🤣 🤣 🤣 Hio ni Team C ime wadinya.
Nitajie hao wachezaji wenu walioko ulaya.Wachezaji wetu wako ulaya. 🤣 🤣 🤣 Hio ni Team C ime wadinya.
Mechi hazijulikani FIFA!Tanzania vs Kenya: Harambee Stars Thrash East Africa Rivals in Mapinduzi Cup Read more: Harambee Stars thrash Tanzania as Kenya gets statement win in Mapinduzi Cup
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻Tuwache China Square Kenya tukuje bongoslum. Wewe ni mwenda wazimu. 🤣 🤣 🤣
Unajisahaulisha na Arusha mnajenga kiwanja Chenye capacity za 1960s. Karne hii kiwanja cha 20k capacity pengine kiwe cha badmintonMnatu finish kwa kujenga uwanja wenye Uko na same capacity na uwanja wenye tulikuanao 18 years ago.? 😂
🤣🤣🤣 OMG!Word up Mr. Alaska 007 …. How is the snow ❄️ in Dodoma treating you … I heard it’s winter over there at this time of the year…please don’t clobber me .. am just a messenger…🤣🤣🤣
Compare and contrastCompare this environment with Changómbe. 😂 😂
![]()
Unanionyesha nini na China Square Wanafungua branch yao ya nne Nairobi na tayari wako Kisumu na Mombasa, nimekuambia wewe ni mwenda wazimu. Tuwache malls za China Square Kenya tukuje kununua vitu kwa stalls bongoslum. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tema hio jaba.👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
Why is that neighborhood named chang’ombe ?…. That’s an insult to cows 🐄….🤣🤣🤣..it’s more like changurwe 🐖…..🤣🤣🤣Compare and contrast View attachment 3195408
Vs View attachment 3195409
Ya kwanza imezingirwa na uswazi while the second one is in a good, well-planned neighborhood. Kama mbingu na ardhi
This our forum resident watchman after he googled Alaska ….😁😁🤣🤣🤣 OMG!
Eti treni yenu ni new technology?🤣🤣🤣Hivi nyinyi wakenya kwnn ni wajinga hivi? Hii train yetu ni new technology bado ipo kwenye majaribio, hilo suala la kukwama ni kawaida, after hapo tunakuwa tayari tushajifunza, huwezi kusema eti sisi train zetu hazikwami lkn zenu zinakwama, eti ndiyo upate nafuu kwa kuji console. Daima reli yenu haitokuja kuwa efficient kuliko reli yetu ya umeme, never. Sisi pia tunayo reli kama hiyo yenu ambapo train zake zinatumia diesel, je ushawahi kusikia train imekwama? Ni kwasababu sio technology mpya kwetu tunaijua vzr tangu enzi za mababu, but hii ni technology mpya hata nyinyi miaka ijayo huko mkibarikiwa kuwa nayo ni lazima mtakuja kujifunza hapa, kwasababu sisi tutakuwa tayari tuna miaka mingi tunai run.
Ni ng'ombe wanaishi huko😂Why is that neighborhood named chang’ombe ?…. That’s an insult to cows 🐄….🤣🤣🤣..it’s more like changurwe 🐖…..🤣🤣🤣
Eti Dodoma iko na vibe ya Alaska mwanangu!😂This our forum resident watchman after he googled Alaska ….😁😁
View attachment 3195432
Hapana mkuu, ni team ZHiyo team ya bongo unajua ni ipi kwani kama sio team D.? 😅
Wale walikuwa wachezaji wa Somalia sivyo?Kwani unavyojua wew wachezaji wetu wako kwene hayo mashindano.?😂😂
Zuzu kunyan kaja na ID mpya,hakuna m TZ atakaeita kibera kibira,kunyan ndio uuita hivyo,aliponiquote nilimpuuza ndio maanaHebu sahihisha hapo nilipokoleza wino wewe kilaza😁
Kwenye ile timu hakuna mchezaji hata mmoja kutoka Yanga,azam na simbaNyie ni wendaazimu? National team iko wapi pale? Timu nzima nitajie mchezaji hata mmoja anayeanza taifa stars pale, wachezaji wa stars kikosi cha kwanza wote wapo kwenye vilabu vyao wanacheza michuano mikubwa, nyie wachezaji wenu wote mmewaita wakacheze ndondo cup mpaka MVP wa ligi yenu jua kali na top scorer wote mmeita kwenye ndondo cup just imagine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na bado mnajisifia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣