Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajisahaulisha na Arusha mnajenga kiwanja Chenye capacity za 1960s. Karne hii kiwanja cha 20k capacity pengine kiwe cha badminton
mji wa population chini ya 1 milioni,unataka tujenge uwanja wa capacity ya elfu 60,nyie ni wehu,fanyeni reaserch viwanja vya gabon alivyohost afcon 2017,vyote ni mabanda ya kuku kwa sasa
 
Remittance walisema ni za nchi maskini, ebu sasa wa tuambie Startuos ni za nchi gani

View attachment 3195460
ECONOMY Tanzania Breaks Investment Records in 2024 with US$ 7.7 Billion in Projects The Tanzania Investment Centre (TIC) announced that it registered 842 projects worth US$ 7.7 billion in 2024, achieving 88.2% of its target of 1,000 projects. This marks the highest investment value since 1991, with the manufacturing and transport section leading in project numbers and investment value. The registered projects are expected to create 248,078 jobs, reflecting significant progress driven by government initiatives and a new investment law

Kwenye hizo 7.7 bil fanya basi robo ni kutoka tanzania na ubaki na kiasi gan kwenye hizo zenu

Read more at: Tanzania Breaks Investment Records in 2024 with US$ 7.7 Billion in Projects and follow
 
What KQ does in 3 months, Air Tangagiza does it in a whole year. 🤣 🤣 🤣 Fungeni hii thread, nyinyi size yenu ni Uganda. Tumechoka kuwaibisha.

View attachment 3195296

View: https://x.com/twendenamama/status/1876165087050023274

With all these destinations? 😂😂😂 Na colabo na skyteam na jambo? 😁

images (47).jpeg
 
I didn't cherry pick anything bongolala. That's your own link I used. Ama ulitaka nilete screen shots zote ndio uridhike? The only things zinakaribia farmlands kwenye link yako ziko kiambu and ongata rongai in Kajiado county. Is kiambu and Ongata Rongai in Nairobi county? Stop being desperate
Kwanini utuwekee screen shots ulizochagua wewe.
Link hiyo hapo 👇
 
ECONOMY Tanzania Breaks Investment Records in 2024 with US$ 7.7 Billion in Projects The Tanzania Investment Centre (TIC) announced that it registered 842 projects worth US$ 7.7 billion in 2024, achieving 88.2% of its target of 1,000 projects. This marks the highest investment value since 1991, with the manufacturing and transport section leading in project numbers and investment value. The registered projects are expected to create 248,078 jobs, reflecting significant progress driven by government initiatives and a new investment law

Kwenye hizo 7.7 bil fanya basi robo ni kutoka tanzania na ubaki na kiasi gan kwenye hizo zenu

Read more at: Tanzania Breaks Investment Records in 2024 with US$ 7.7 Billion in Projects and follow
Mama ameivunja rekodi ya uwekezaji iliyowekwa mwaka 2012
 
ushakunywa zako chang'aa hapo inakudanganya mkapa stadium ni msaada wa china!kama kitu hujui ni bora unyamaze kuficha upumbavu wako
Bongolala unajua maana ya neno 'grant'?
Screenshot_20250108-072037.png

Makwapa ni msaada kutoka kwa wachina
 
Back
Top Bottom