Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Investment has started to pay🇹🇿🇹🇿🇹🇿

20250104_075903.jpg
 
Mkenya akienda Dubai ama Europe kufanya kazi mnamuita kijakazi, Mtanzania akija Kenya kazi mnajisifu amekuja kuchukua pesa. Hii inaonyesha vile economy yetu iko juu ya yenu.
Una tatizo la akili or something

Yaani mtu aje kuchukua USD 1m kwa dk 30, pamoja na Ksh 20m bila hata kuimba kisa fujo za pozee ulinangishe na House maid wa USD 200 kwa mwezi huko uarabuni?

Kama si ukichaa ni nini?
 
Sitasahau jamaa walinipiga charger ya simu hapo JKIA kufika OT airport sioni charger wangese sana hao njaa imezidi sana hapo ukunyani.
Kuna wizi mkubwa sn unafanyika JKIA passengers huwa wanashauriwa wafanyie wrapping begi zao kabla ya kutua JKIA au Bole pale Addis Ababa, yn jamaa wako third world countries indeed.
 
Hii ndio kariakoo anasema kunajengeka kushinda sehemu yeyote kenyaView attachment 3192397

Huyu mwarabu akifika Eastleigh aone the kind of building projects going on there atasemaje?
Hivi wewe Watchman unaakili timamu kweli wewe? Kwenye hii picha yako tu kuna majengo matano yanajengwa, just imagine, kapicha kadogo tu lkn majengo matano under construction na bado unataka uletewe ushahidi, uko timamu kweli wewe?
Screenshot_20250104-235227~2.png
 
hapo tu kuna majengo zaid ya 6 yanajengwa kwa pamoja na ni chni ya kilomita moja za mrabaha
Huyo Watchman ni kichaa kajipiga own goal, tukiwaambia kariakoo sio size yao wanabisha. Kariakoo is not a joke, just because hatupost picha wanadhani tunawatania, sasa wanapost wenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom