REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,532
Your mates are Nigerians. You lot are primitive and use construction vehicles.Wacha kuficha aibu. Kubali yapo Bongo tofauti na mnavyodai.
Ndugu zenu hawa👇👇👇
Your mates are Nigerians. You lot are primitive and use construction vehicles.Wacha kuficha aibu. Kubali yapo Bongo tofauti na mnavyodai.
What’s your point ?…AI Generated photo
Oneni viroja vya wakunya, wanefika mbali kufananisha mji wa harufu mbaya, slums , zombies of Dumpsites, chaos, poor road infrastructure, matatu madness na Jiji kama London . Hii bangi mnavutaga huwa mnachangana na Mavi toka flying toilets of Kibera ?
Mkuu unadhani ni rahisi kupanda hili dubwana ?, wakati mwingine tuweni compassionateHivi hawa jirani zetu tunaojibizana nao humu huwa hawapandi lile gari moshi lao?
Maanake halipandiki!
Dah inakaa kama treni ya kwenda kwa moto 😂Mkuu unadhani ni rahisi kupanda hili dubwana ?, wakati mwingine tuweni compassionate
View attachment 3190184
Hata watu wa Rwanda Burundi Ugandan na DRC wanaweza,kuchukulia mzigo wao Dom na reli kipande cha Isaka ikikamilika huduma itasogea karibu zaidi.Eneo ni kubwa sawa na 1,210.816 acres.
Iringa, Njombe, Manyara wataweza chukulia bidhaa zao Dodoma
Vitu vya kusaidiwa bwana mchina bado anaweka bendera yake hapo kwenye locomotive wakati huku kwetu sijawahi kuona bendera ya mkorea kwenye treni zetu.Mkuu unadhani ni rahisi kupanda hili dubwana ?, wakati mwingine tuweni compassionate
View attachment 3190184
Bichwa ngombe 🤣🤣🤣Mkuu unadhani ni rahisi kupanda hili dubwana ?, wakati mwingine tuweni compassionate
View attachment 3190184
Ndio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🤣 🤣 🤣Hata watu wa Rwanda Burundi Ugandan na DRC wanaweza,kuchukulia mzigo wao Dom na reli kipande cha Isaka ikikamilika huduma itasogea karibu zaidi.
Uliza Isaka Dry port iko toka lini? Kabla hata hamjakuwa na dry port kenya Isaka ipo na ina functionNdio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🤣 🤣 🤣
Look who is talking 🤣🤣🤣👇Ndio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🤣 🤣 🤣