ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kumbe nimesahau hata marioo alikuwepo nairobi akichukua pesa zenu 😂😂😂😂Hehehe, na ujue ziko mingi sana. Wanapenda tu kujidanganya😂
Niliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. 😂😂😂hii nchi ni kama laana ya dunia nzima
View attachment 3189884
china ni kiboko ya dunia hii😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://x.com/tripinchina/status/1874158580107993561?s=46
nae ni shetani kama mashetani wengine kaka, ukitaka kuamini chunguza utajiri alionao baada ya kua rais unaeza sema ametengeza utajiri huo kwa miaka 300😂Niliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. 😂😂😂
Tunawambia wana Roho nyeusi kama masizi.Niliandika jana huenda Rais wao ni mtu mzuri ila changamoto ni ufala na ukabila hukunielewa. 😂😂😂
Kila mtu ni mpigaji ni vile tu wengine hawajapata nafasi ya kupiga. 😂😂😂nae ni shetani kama mashetani wengine kaka, ukitaka kuamini chunguza utajiri alionao baada ya kua rais unaeza sema ametengeza utajiri huo kwa miaka 300😂
Unapenda ujinga sana 🤣🤣,watu wanataka kujua kwann mafuta yanakuja na damage all the time nani yuko nyuma ya hzo damage za kuchelewesha meli kushusha mafuta yani meli ya mafuta inachukua up to 2 months kushusha mafuta wewe huogopi??😂
sasa wenzetu hawaibi wao wanamaliza kila kitu yani anaiba mpaka anakaribia kujiiba na yeye 😂😂😂😂Kila mtu ni mpigaji ni vile tu wengine hawajapata nafasi ya kupiga. 😂😂😂
Hata wewe ukipata nafasi ya kupiga huwezi acha.
Unapenda ujinga sana 🤣🤣,
Bei zinazidi kushuka unaendelea kutunga stori zisizo na msingi 😂😂
Dar ni workshop kubwa sana Kwa Sasa,kazi zinaendelea 👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DERwE2mqrFw/?igsh=MTB3bW5jNnc1Z3dzcg==
Raisi wetu sio malaika kwamba yeye hakisei, tubamkosia sana tu, ila tunamkosia kwa heshima na utu.We know you don’t have the freedom to rank your President juu ya uwuoga.
Zingatia Key word: Gas powered 💪 💪 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DERRpUXIK4J/?igsh=enRlY21lMHhhcWdq