Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Focus yetu haiko huko tena kwenye Council stadiums bali kwenye teams kumiliki stadiums na hata hivyo several teams kwenye premiership zinamiliki stadium's zao mpaka sasa.
Zinamiliki grazing fields? Ebu tuonyeshe timu tatu zenye zinamiliki stadiums and don’t forget to attach the pictures.
 
On bed already because my Kenyan neighbors are all broke!
Jana hizi takataka kunyaland wakaenda kuvamia show ya mwanadada Shenseea kutoka jamaica 🇯🇲 wakaforce waingie bure police wakaanza kupiga mabomu show ikaharibika umasikini utawaua hawa manyangau
 

Attachments

  • Screenshot_20250101_104759_Instagram.jpg
    Screenshot_20250101_104759_Instagram.jpg
    137.3 KB · Views: 23
kutoka 2908 mpaka 2866 ndio imeshuka nn hapo??😂😂😂😂😂

shida iko pale pale kwann mafuta ina kodi nyingi sana zinafika 22 alaf kwann mafuta yanacheleweshwa kushushwa bandarini maksudi ili damage ije tulipe sisi wanunuzi

yani ni simple logic haitaji hata uwe na D mbili kuelewa
Ni kubwa sana hiyo ,tuulize wakandarasi
 
Back
Top Bottom