Wewe kinachokusumbua ni ushamba. Miaka na miaka kuna Dryport Isaka Kahama Uganda, Burundi, Rwanda na DRC wanaenda kuchukulia huko.Ndio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🤣 🤣 🤣
Ju iko kwa route ya SGR, usiwe pumbavu. 🤣 🤣 You know very well what I was talking about.Uliza Isaka Dry port iko toka lini? Kabla hata hamjakuwa na dry port kenya Isaka ipo na ina function
kwa makusanyo hayo nilitegemea tozo zote zitolewe kwa sasa hasa hii tozo ya miamala ya simu inaumiza sanaAlafu mnazitumiaje?
Hiyo pesa ni nyingi inaweza fanya mambo makubwa haihitaji siasa nyingi, ikiwa mpo na samia infrastructure bond mnatafuta under 200 billion, why msitenge 500 billion ya pesa za ndani kwa miezi mitatu ya kikodi kumaliza pengo la ROAD Fund ya TARURA?
JNHPP iliwezekana kwa pesa za ndani kwa model hiyo Bwawa linajengwa miaka 4, kila mwezi unakusanya 2Trillion, unashindwaje kufinance 7 trillion miaka 4, Same kwa Kigogo Busisi Bridge ya 300bn.
Tulia mpange hata hizo Barabara unazolilia ukiona Reli eti reli inakula pesa na unalalama 10 trillion ni kidogo kwa miaka 4 huku unakusanya 2Trillion kwa mwezi.
Naona mnatafuta sijui mwekezaji wa barabara za haraka (Expressway) wakati pesa mnazo, ndio yale ya Kigamboni bridge walipie, Tanzanite Bure, Kigogo Busisi bure kwa maamuzi.
Kwa nini lipa kwa Mpesa wanatoza tozo? Hawaone wanadiscourage Mobile cashless economy?kwa makusanyo hayo nilitegemea tozo zote zitolewe kwa sasa hasa hii tozo ya miamala ya simu inaumiza sana
Kumetokea nini tena?Haiti sio kuzuri, mambo yamechemka.
mm hua nashindwa kuelewa kabisa ikiwa makusanyo ya kodi ni makubwa sasa tozo za nn ??Kwa nini lipa kwa Mpesa wanatoza tozo? Hawaone wanadiscourage Mobile cashless economy?
wanapigika kisawasawa huko na vita ni kama imeanza upya kabisa😂😂Kumetokea nini tena?
labda miaka 100 kenya ifike hapa 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DEQT4PzKBwJ/?igsh=MWR6em4yNGIxYXo2OA==
sasa wenzetu hawaibi wao wanamaliza kila kitu yani anaiba mpaka anakaribia kujiiba na yeye 😂😂😂😂
Ndio mumejua umuhimu wa dryport in 2025, enyewe mnakuanga nyuma kama matako. 🤣 🤣 🤣
Kenge wewe ulisema ndio tunajua leo dry port sasa mbona unababaika baada ya kuonyeshwa?Ju iko kwa route ya SGR, usiwe pumbavu. 🤣 🤣 You know very well what I was talking about.
Hawalipwi mishahara halafu wanapigika kisawa sawa.Kumetokea nini tena?