Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,577
Yaani hata kama ni uhuru wa kujieleza umevuka mipaka huwezi kusimama unatukana mamkaka kijinga hivyo
kwani unafkiri hao viongozi wana adabu kwa wananchi wao 😂😂😂😂
Hawatokuja kuendelea daima, tunazidi kuwaacha kila siku, wamebaki kutuongelea day in day out.