Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utashinda kubisha ukweli 😂😂😂
Haya tuseme hio imeandikwa na foreigners, pia hawa ni foreigners kwenu, sio?
Yaani hadi mnawaita ni wakenya, huyu masai anaongea facts
View: https://youtu.be/pQJZG68rzEw?si=uQVXZPk20PrRm7sm
Listen to your president talk about your fellow Tanzanians as if they are second class citizens. Putting more value on wild animals than human life

View: https://youtu.be/YJDOrFkr85c?si=Av-sXvFcZJbscbCL

hahaha bado mpaka leo hujajua kwann wamasai wameondolewa hapo?😂😂😂

so ww unajua zaidi kuliko sisi??? au unajua kwann hili jambo limepingwa sana ni kwasababu hao unaowasikiliz walikua wanapata maslahi yao kupitia hao wamasai na si wengine bali wengi walikua wakenya hili jambo limewauma sana wakenya kuliko binaadamu yoyote na hamkutegemea kama wangetolewa hapo kuna mengi huyajui nyuma ya pazia na bahat nzuri tanzania imekua mbele ya muda dhidi yenu 😂😂😂😂😂
 
Boss hii sio habari, ni wakenya wenyewe walivote kum rank the most corrupt hata tunashindwa mbona hakupata number 1 😂😂 tafuta lingine
We are not the same
na hatoki ikulu hata mutoke nje uchi nchi nzima hata mulie machozi ya damu hatoki kwenye kiti ya urais 😂😂😂😂

na 2027 hakuna wakumpinga take my words

sisi furaha yetu ni kuona munachoma nchi yenu kwa mikoni yenu na munaongeza kasi ya umaskini na hii ndio ile laana ya kenyatta ya kutoshiriki kwenyw ukombozi africa mukajitenga pekeenu na kuanza kufanya biashara na kutengeza ukabila haya kiko wapi leo tulijua mayb mutakua level ya singapore kumbe hata burundi ina nafuu😂😂😂😂😂😂

View: https://x.com/kenyans/status/1873632698306367616?s=46
 
Usiwe mjinga, a terminal is just a building, haimaanishi eti zikiwa mingi the bigger the airport, kuna many big airports with just 1 terminal. Mbona bongolalas mnakunaga wajinga hivi lakini. 🤣 🤣 🤣
Embu tuambie Airport yenu capacity yake ni ngapi halafu tufanye comparison na JNIA tuone ipi ni kubwa? Wacha numbers ziongee acha ngonjera.
 
Hakuna watu wanao umia kama wakundurenda kwa kuhamisha wamasai ngorongoro
hahaha bado mpaka leo hujajua kwann wamasai wameondolewa hapo?😂😂😂

so ww unajua zaidi kuliko sisi??? au unajua kwann hili jambo limepingwa sana ni kwasababu hao unaowasikiliz walikua wanapata maslahi yao kupitia hao wamasai na si wengine bali wengi walikua wakenya hili jambo limewauma sana wakenya kuliko binaadamu yoyote na hamkutegemea kama wangetolewa hapo kuna mengi huyajui nyuma ya pazia na bahat nzuri tanzania imekua mbele ya muda dhidi yenu 😂😂😂😂😂
 
I'm not your friend and if this is what you are praising I rest my case.View attachment 3188911
Kwa mawazo yako New York hakuna Building hata moja

1735625201794.png
 
Back
Top Bottom