Sasa hapo nn mbaya mkuu? Plan ilianzishwa na Mwl Nyerere, lkn kutokana na kutokuwa na uwezo Mwl akashindwa kutimiza ndoto zake, hatimaye moja kati ya watoto wake (JPM) ambaye alikuwa na mapenzi na usikikivu mkubwa kwa Baba yake akatimiza ndoto za babaake. FYI, mji ulianza kuhamishwa from 2017 and not in the late 90s as you claimed, Dom ukirudi nyuma from 2017 ulikuwa hauna hata hadhi ya kuitwa city live alone capital status. Siku hizi umekuwa mjinga sana tofauti na nilikvyokuwa nakujua kama moja ya wakenya smart, lkn najua kuwa mkenya ni mkenya tu habadiliki, ujinga wa kina
Nicxie waliourithi kwa Kenyatta SR wamekuhamishia na wewe, by the way nimekujibu in respectful way kutokana na ku declare kwamba "unamuheshimu sana" my Idol (Julius K Nyerere).