Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 of course you will believe it because you have no idea how Nairobi looks like, shida hata hujaangalia comments
View attachment 3188938View attachment 3188939
Usijisumbue sana, wewe weka picha mpya to dispute the old pictures, ukiongea bila relevant evidences tutajua ni kweli Nairobi imeendelea online, imagine CBD haina lami, no wonder mnapiga picha za upande upande.
 
Ivi hawa ndugu maandamano yamewasaidia nini toka 1990 wanaandamana ati end of the day linchi linazidi kuzama, wamemchagua RUTO wenyewe na kuleta mdomo wana demokrasia bora ila utumbo mwingi tu. Ona sasa walikua wanatusemaa wee haya kiko wapi ingia tena muandamane.
 
Hakuna watu wanao umia kama wakundurenda kwa kuhamisha wamasai ngorongoro
Ni ajabu hadi wenyewe wanaandamana kisa Masai kuhamishwa, wakati masai wa bongo wamehama vizuri tu?

Mwanzo nilikua nipo against ila baada ya kuona hawa nyau wanalikomalia hili suala nikaona kuna uwalakini hapa, ukizingatia wanapakana.

Anyway hakuna habari siitilii manaani eti sijui nchi imeuzwa, ni kitu ambacho hakiwezekani baada ya Magufuli kupitisha sheria ya Permanent Sovereignty on natural resources, hapo ni ngumu kabisa mtu kujimilikisha rasmali za nchi sababu hiyo sheria inatoa nafasi ya kumtimua mwekezaji asiyonufaisha nchi.

Ajabu kwenye sakata la DP WORLD walitaka kuifuta. Ndio nilianza rasmu kuwachukia hawa wajinga. Mijitu inakwambia hakufanya chochote huku wanataka kuingiza nchi matatizoni.

Imagine sheria moja matata ya kutulinda dhidi ya nchi kuibiwa rasmali unataka kuibadili, afadhali kamati ya Bunge iliikataa pendekezo.

Kama ilivyo Land now Natural Resources zimekua under government, mwekezaji akizingua anasepeshwa.
 
so munatuambia kasongo kaiwakilisha vyema africa 😂😂😂😂

View: https://x.com/itskipronoh/status/1873955567540351000?s=46

3. Joko Widodo kuna walakini nimeanza mcheki toka yuko meya wa JAKARTA mpaka Raisi jamaa yupo poa ana infrastructure miracles kama za mzee mpaka kuiweka Indonesia kwenye map ya emerging economy in ASEAN.

Muda huu anajenga mji mkuu mpya Nusantara.

Itabidi nicheki kunanani tena? Sio poa awekwe hapo na failure wa matakoni.
 
Widodo alishatoka kwa kiti, get informed.
 
Swala la ngorongoro wapiga kelele wa huku Tanzania ni walio kuwa wanakula kupitia wamasai wa ngorongoro na kundurenda wanalia kwa sababu lilikuwa ni eneo lao la kuchungia mifugo yao SSH kapiga pini za kutosha
Ni ajabu hadi wenyewe wanaandamana kisa Masai kuhamishwa, wakati masai wa bongo wamehama vizuri tu?

Mwanzo nilikua nipo against ila baada ya kuona hawa nyau wanalikomalia hili suala nikaona kuna uwalakini hapa, ukizingatia wanapakana.

Anyway hakuna habari siitilii manaani eti sijui nchi imeuzwa, ni kitu ambacho hakiwezekani baada ya Magufuli kupitisha sheria ya Permanent Sovereignty on natural resources, hapo ni ngumu kabisa mtu kujimilikisha rasmali za nchi sababu hiyo sheria inatoa nafasi ya kumtimua mwekezaji asiyonufaisha nchi.

Ajabu kwenye sakata la DP WORLD walitaka kuifuta. Ndio nilianza rasmu kuwachukia hawa wajinga. Mijitu inakwambia hakufanya chochote huku wanataka kuingiza nchi matatizoni.

Imagine sheria moja matata ya kutulinda dhidi ya nchi kuibiwa rasmali unataka kuibadili, afadhali kamati ya Bunge iliikataa pendekezo.

Kama ilivyo Land now Natural Resources zimekua under government, mwekezaji akizingua anasepeshwa.
 
If you have been inside terminal ii jnia, you wouldn’t have the balls to call jkia a colosseum. I took a picture in that terminal 1 year ago. here see for yourself
PS Who told you JKIA has 1 terminal?
View attachment 3188946View attachment 3188947

Also, notice the Fort Jesus Mombasa advertisement
View attachment 3188948
Wakundustan mnahangaika kweli kuadvertise Kunyaland yenu Tanzania ili watanzania waje huko lakini wapi, mmeweka mpaka kwenye billboards kumarket nchi yenu lakini no one's interested mnawaiga SA
 
Ila wakenya wana maisha ya ajabu kweli 😁😁😁 imagine mtu mpaka social media anaweka hii proudly na society inampa compliments kwamba ni achievement 😁😁😁 Tanzania watu wanajenga kwa kufuru unakuta nyumba ni refu kama a story building kumbe ni nyumba ya kawaida tu roofing imeenda hewani basi tu bila sababu, wakenya tafuteni siku mfanye study tour Geita kwenye mambo ya ujenzi wa nyumba halafu rudini kwenu 😁😁 mtajiona Choo

View: https://x.com/Ja_GemKathomo/status/1873799805115445675?t=DR7DXjgz3GrgDHIAdKb7Tw&s=19
 
mm nimelichukua hilo la mtu mmoja kumiliki 4million acres of land😂😂😂😂😂
Sasa kama mbunge wao mzima kaoza akili kiasi hicho wananchi wana hali gani? Mbunge hajui mapato yote Kunyaland hayatoshi hata kulipa mishahara yeye anasema yanatosha budget ya nchi 8 hizo 8 ni nchi au Kaya? 😁😁😁 Kwamba Kunyaland wana budget ya kutosha kujenga BRT phases zote, SGR yote, JNHPP yote, EACOP yote, miradi ya REA, madaraja na barabara kilometers 2000, dozens of new airports, maji na nchi nyingine 7? 😁😁

Yes, our monthly revenue can run Tanzania efficiently without borrowing even a cent.
 
Sasa kama mbunge wao mzima kaoza akili kiasi hicho wananchi wana hali gani? Mbunge hajui mapato yote Kunyaland hayatoshi hata kulipa mishahara yeye anasema yanatosha budget ya nchi 8 hizo 8 ni nchi au Kaya? 😁😁😁 Kwamba Kunyaland wana budget ya kutosha kujenga BRT phases zote, SGR yote, JNHPP yote, EACOP yote, miradi ya REA, madaraja na barabara kilometers 2000, dozens of new airports, maji na nchi nyingine 7? 😁😁
Yes, ama unasahau serikali yenu iliwahiomba deni ya Kujenga SGR Kenya?
 
Back
Top Bottom