Hizo buses zenye sura mbaya na nyanya hoho tena pembeni ni cancer full ungaunga wa break lines juu ya chakula cancer mnaitaka wenyewe kumbe. Jaribuni kuwa wastaarabu mjenge stand na masoko ya kisasa maana naona huko mbele mtakuja kutulemea huduma za kiafya huku kwetu.