Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Arusha tayari wameshaanza mkesha wa mwaka mpya huko. Jamaa hawapoi 👇🏾Wasafi FM on Instagram: "MATUKIO PICHA DAY 2 USIKU WA BATA BACK TO BACK - ARUSHA Mhe. Paul Christian Makonda, kuanzia Disemba 31 kutakuwa na sherehe za kufunga na kuukaribisha mwaka 2025, sherehe ambazo zitafanyika kwenye mitaa kadhaa ya katikati ya Jiji la Arusha.siku tatu za burudani na matukio mbalimbali katika kuufunga mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka 2025. ✍🏻 @jimmy_pro_gallery #WasafiDigital".