AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,286
- 3,206
Those are Turkish drones, second Tanzanian army has no drones. Prove me wrong
Kwani mimi nimesema ni drones za watu gani!?
Sawa hakuna drones. Hahahaha
Those are Turkish drones, second Tanzanian army has no drones. Prove me wrong
Hamna Military drones.Kwani mimi nimesema ni drones za watu gani!?
Sawa hakuna drones. Hahahaha
We huogopi??Kwani mimi nimesema ni drones za watu gani!?
Sawa hakuna drones. Hahahaha
Hamna Military drones.
Hakuna jipya hapoWe huogopi??
Nginjanginja lazima litoke kwa reli kwa speed hii
Utatumiaje kitu huna? Ama mlitumia kwa ndoto?Ndio,
Poleni.. Nyie ndio mmezipata.. Sue tumeshazitumia
Ukitaka ujue like speed ni Ile umetoka pugu kuitafuta postaNginjanginja lazima litoke kwa reli kwa speed hii
DSM Airport is big my friend has 3 terminals sio kama lile gladiators colleseum la terminal moja section tofauti 😁Ukiachana na lile terminal la international flights ambalo liko empty kila wakati, hili duka ndio wanalotumia 😂😂😂View attachment 3188663
Hili dude wanalitembeza hivi likiwa ni la abiria sasa kwenye mizigo si ipo siku litapiga 200km. Halafu ni kama na lile la mgr limeanza kuutupa kwa wingi Kuna sehem limetupita Ile ilikuwa si chini 80
Alafu Mwisho wa mwaka inapokea abiria 1.5M pekee.DSM Airport is big my friend has 3 terminals sio kama lile gladiators colleseum la terminal moja section tofauti 😁
Acha wivu😎Alafu Mwisho wa mwaka inapokea abiria 1.5M pekee.
Kwani ni uongo?Acha wivu😎
Ndio😁Kwani ni uongo?
Usiwe mjinga, a terminal is just a building, haimaanishi eti zikiwa mingi the bigger the airport, kuna many big airports with just 1 terminal. Mbona bongolalas mnakunaga wajinga hivi lakini. 🤣 🤣 🤣DSM Airport is big my friend has 3 terminals sio kama lile gladiators colleseum la terminal moja section tofauti 😁
Hebu nitajie airport kubwa yenye terminal moja. Maana airport kubwa zote NILIZOPITA zina terminal zaidi ya moja.Usiwe mjinga, a terminal is just a building, haimaanishi eti zikiwa mingi the bigger the airport, kuna many big airports with just 1 terminal. Mbona bongolalas mnakunaga wajinga hivi lakini. 🤣 🤣 🤣