Kwa hivo kunitusi ati mjinga ndio respectful 😂😂 Ile siku mtakuwa accountable for whatever is going on in your country ndio nitawaheshimu. Lakini kusifia serikali kila wasipotekeleza wajibu na majukumu na wakiwapa lawama mnaamini tu bila kubisha, hivo ndivo hela zako wewe zitaliwa bila huruma. Hio sio kupenda serikali, huku Kenya tunapinga serikali sio kwa chuki ila tunataka nchi yetu iendelee. Hio ndio patriotism ya ukweli. We don’t praise the government for doing what it should! Sio msaada, ni majukumu!