Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatimae umekubali kwamba Hio plan ilzalishwa kwa enzi za Mwalimu Nyerere
(Ninayemheshimu sana) Ila nini ikafanyika? Hamna. Kwa hivo mlifeli kuyatekeleza yale mipango yalivyokuwa yamewekwa. In fact, the actual official moving of the capital was in the late 90โ€™s. Na kuanzia hapo hamna cha maana likichofanyika mpaka enzi za JPM.
Which is my point exactly! โ€œKusitishaโ€
Donโ€™t be lazy in implementation of projects and expect us to respect and recognize them as achievements when you are eons behind schedule! Do not declare it a capital city if you are not able to implement it, and if you declare it, then build or else expect criticism.. your double standards are insane..
Read this again! View attachment 3188185
Sasa hapo nn mbaya mkuu? Plan ilianzishwa na Mwl Nyerere, lkn kutokana na kutokuwa na uwezo Mwl akashindwa kutimiza ndoto zake, hatimaye moja kati ya watoto wake (JPM) ambaye alikuwa na mapenzi na usikikivu mkubwa kwa Baba yake akatimiza ndoto za babaake. FYI, mji ulianza kuhamishwa from 2017 and not in the late 90s as you claimed, Dom ukirudi nyuma from 2017 ulikuwa hauna hata hadhi ya kuitwa city let alone capital status. Siku hizi umekuwa mjinga sana tofauti na nilikvyokuwa nakujua kama moja ya wakenya smart, lkn najua kuwa mkenya ni mkenya tu habadiliki, ujinga wa kina Nicxie waliourithi kwa Kenyatta SR wamekuhamishia na wewe, by the way nimekujibu in respectful way kutokana na ku declare kwamba "unamuheshimu sana" my Idol (Julius K Nyerere).
 

Mm nawatakia kila la kheri wazidi kuharibu mali za investors ili tupate massive influx ya investors zaidi ya ilivyo sasa. Na namtakia Ruto maisha marefu na aongoze Kenya mpaka afie madarakani kama Mugabe.
 
Huku kwetu wanyama ni tourist attraction alafu huko kwenu binadamu ndio tourist attraction. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Screenshot_20241230_083717_Chrome.jpg

Uwa mnawaza kwa kutumia akili zipi nyinyi kunyan!au ufinyu wa elimu yenu ndio umewafikisha hapo,toka lini kibera na hayo maslum yenu yaliyojaa hapo naikundu wakaishi wanyama?
 
Back
Top Bottom