Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari ya mkenya hio. 🤣 🤣 🤣
au sio 😂😂😂😂😂
IMG_2318.jpeg
 
Kutoka Kigamboni haina Barabara hadi now sijui South wala nini?

Unatuona wajinga au?

Hapo ulipochora Kibada haipo? Geza na Dege Eco haipo?

Toka Mwanzo ulisema Kigamboni haina Barabara uoneshwe, hukusema South area uligeneralize Kigamboni, RRONDO alipokudaka ukaanza ni south na ukaja na Kamchoro kabisa.

Umeanza kuumbuliwa ndio unaenda kujieleza sana, sasa hapo nilipopin hapapo kwenye ulipohighlight?

Ujuaji mwingi

View attachment 3182808

View attachment 3182794
Aliposema Kigamboni haina lami hata 1km niliacha kumjibu. Sasa utanwambia nini mtu kama huyo?
 
Back
Top Bottom