President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Mengine yote umepatia, umekosea kitu kimoja tu. Mimi ni Sir siyo Madam.I will surely visit Madam Venus, I can afford it.
Mengine yote umepatia, umekosea kitu kimoja tu. Mimi ni Sir siyo Madam.I will surely visit Madam Venus, I can afford it.
Picha ya 2014. 10 year agoHii Kariakoo moja ama kuna nyingine? Do you even have an idea what 100 storied buildings are? 😂 😂
![]()
Nairobi - Nakuru Highway 20 December 2024He's comparing them with roads in Europe, not in Vumbistan.
Jitu pumbavu lina download picha za miaka kumi iliyopita. 😂😂 here is the same place 👇🏾Hii Kariakoo moja ama kuna nyingine? Do you even have an idea what 100 storied buildings are? 😂 😂
![]()
Kijana mdogo, mwenzako amesema kuna nyumba zaidi ya 100 zenye gorofa zaidi ya 20 zinajengwa Kariakoo sasa hivi. Naomba unitajie tu tatu pekee kati ya hizo 100. Nitajie tatu pekee tufunge mjadala alafu tuone nani mpumbavu kati yangu na wewe.Kwa kujifariji tu we jipumbavu hujambo. Hii picha uliyo download ni ya kitambo. Hili ni jengo U/C nyuma ya jengo la infinix 👇🏾View attachment 3181671
Huku mashoga huwa tunawaita Madam na wewe ulishaakiri kuwa shoga kwa hivo tutakuita madam.Mengine yote umepatia, umekosea kitu kimoja tu. Mimi ni Sir siyo Madam.
2014 TPA ilikuwa imekamilika? Mnadhani tumekosa akili kama nyinyi?Picha ya 2014. 10 year ago
Nairobi - Nakuru Highway 20 December 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=8nRNp4zDZCs
Maelfu ya wasafiri waliokuwa wakitumia barabara kuu ya Nairobi - Nakuru na ile ya Nairobi - Mai Mahiu walilazimika kukesha usiku wa kuamkia leo kufuatia msongamano mkubwa wa magari unaoendelea hadi sasa katika barabara hizo.
Mbona sioni jengo lolote lenye zaidi ya 20 floors hapo? 😂 😂Jitu pumbavu lina download picha za miaka kumi iliyopita. 😂😂 here is the same place 👇🏾View attachment 3181700so many buildings U/C
Eti kariakoo yapo maghorofa 100 under construction? 🤣🤣🤣Kkoo tu peke yake kuna zaidi ya 100 yapo under constr,atuyapost coz kwetu si priority yetu,tunapost miradi itakayomgusa kila mtanzania,kwa deni mnalodaiwa then hamna miradi kama wa brt phase 2,3 na 4 kwa wakati mmoja,nyerere dam,sgr n.k,mngekua watu wenye elimu nzuri mngeona aibu kupost maghorofa
Miradi yenye tija kama gani bongolala?While sisi tunapost miradi yenye tija,kunyan mnapost maghorofa tu,nyie jamaa ni vichaa!
Nairobi - Nakuru Highway 20 December 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=8nRNp4zDZCs
Maelfu ya wasafiri waliokuwa wakitumia barabara kuu ya Nairobi - Nakuru na ile ya Nairobi - Mai Mahiu walilazimika kukesha usiku wa kuamkia leo kufuatia msongamano mkubwa wa magari unaoendelea hadi sasa katika barabara hizo.
Mimi siyo shoga. Labda unajambo jingine unalitafuta kwangu. Tell me about that issue and I will listen to youHuku mashoga huwa tunawaita Madam na wewe ulishaakiri kuwa shoga kwa hivo tutakuita madam.
Huenda hata ni more than 100 buildings under construction in kariakooEti kariakoo yapo maghorofa 100 under construction? 🤣🤣🤣
What are you smoking dude? Wakati mnapost hadi nyumba za ghorofa Tano under construction hapo glorified fishing village hizo 100 buildings under construction in Kariakoo si mngekuwa mnapost usiku na mchana?
Utalinganisha hicho kituko na stadiums roofings kama hizi?Yes, it's a canopy and Every stadium has a canopy. Ama canopy ndio hujui ni nini?
Wewe endelea kujifarijiHuenda hata ni more than 100 buildings under construction in kariakoo
More than one 100 buildings are under construction. Angalia hizi picha, then niambia unaona buildings ngapi zinajengwa 👇🏾Wewe endelea kujifariji
Show us something like this bongolala.More than one 100 buildings are under construction. Angalia hizi picha, then niambia unaona buildings ngapi zinajengwa 👇🏾View attachment 3181753View attachment 3181754View attachment 3181755hii ni street moja tu.