Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And you told you kama kuna 600 km sq in Dar city enye ni empty.? Wher have you got that lies.? Mana naona una force tu mpumbavu hii. 😂😂😂
Nionyeshe barabara ya lami kwa hili eneo nililohighlight.
Screenshot 2024-11-19 185145.png
 
Because the University is inclusive of the CBD and well integrated with other businesses and also has business buildings within it.. Meanwhile, the State house is a protected compound without any businesses and does not have a high concentration of commercial buildings. It clearly does not fit the definition of a CBD. Learn.
Kweli wewe ni zuzu wewe.. 😂😂😂 unavyopima kariakoo kuna maeneo ya shule (na ni maeneo makubwa tu) hayapimi, ni kwanini, ikiwa shule inaeza kuwa inclusive na CBD. kimsingi kuna eneo kubwa tu hapo kamata hukuligusa ambapo ndio parking yw magari yanayoingia kariakoo, shule mfano Benjamini william mkapa Sec. Tena wewe kwenye ramani yako ume skip hadi stendi ya mwendokasi kariakoo gerezani, 😂😂

Skia wacha ujinga wa kulazimisha mambo wewe.
 
Kwa hivo Nairobi - Nakuru highway kuna tolled expressway? Wengine wenu muache kujiaibisha. 😂 😂
We nawe kila mkishikwa foleni unakimbilia magari mengi, kama hukuflash ubongo utakumbuka tuliwahi argue expressway ukaleta maneno ya magari mengi while hamlipi tozo.

Kwamba hiyo foleni zote hamna diversion roads? Licha ya matakwimu ya barabara mpaka kwenye matendegu ya kitanda?
 
Bado haijamaliki na imagine ikikamilika bado ikija Kenya haitokuwa number 1.
Kumbuka before imalizike
1. Nairobi - Nakuru - Mau Summit ujenzi utakuwa umeanza. Hiyo ni 220km.
2. Mombasa - Nairobi ujenzi utakuwa umeanza. Hiyo ni 500km.
Total 720km continous dual carriageway.

Kwa hili hamtupati hata wewe unajua.
Haya maneno mmekua mnayaongea sana kuanzia Mombasa Gated Bridge kipindi ndio Kigamboni bridge imefunguliwa, ila now kiko wapi kuna Tanzanite, Kigogo Busisi. La mombasa sijui.

Same kwa SGR mlisema mnafika sijui malaba etc kipindi ndio tunaanza cha ajabu kilometers mlizojenga tushazipita now hamtukuti reli imeishia porini.

Jenga kwanza barabara hizo za dual ndio ulete kelele Dodoma inajengwa.

USA anakuja kuwajengea lini?
 
Tupimie utuonyeshe length ya hivyo vibarabara ni km ngapi alafu uje uone ulivyo mjinga. No wonder Teargas hukuita baboon.
Kilwa road nishakuwekea na nikaongeza Bandari street na Kivukoni road na bado haijafika hata 15km. Hizo zingine ndio shida zaidi.
Halafu hiyo Morogoro road ndio Kibaha road. Hata kwenu hujui lazima nikufunze.
Alafu wewe huko kwenu nje ya Thika mna barabara ngapi za 6 ways Lanes?
 
Serikali punguzeni masharti la sivyo wekeni pesa wenyewe kama joint venture na wawekezaji vinginevyo zinaendelea kuwa stori Hadi Yesu anarudi.

Chum Haipatikani Tanzania pekee,Uganda hapo Wana chuma n Wana investors si mkajifunze wao wanafanyaje? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DD4N30_OOet/?igsh=aGw5OWw2Z2Q5OGpv

Ndio inatakiwa Serikali kukomaa mpaka ipate, kama ipo Uganda waende, hatuwezi kuwa na mgodi wa kijua kali kwenye rasmali kubwa.

Hebu jaribu kutembelea mgodi wa MZUNGU alafu uje wa mchina hauna utofauti na migodi ya wachimbaji wa ndani.

Kwenye madini hautakiwi kuchekea mwekezaji maana hiyo ni rasmali inaweza fanya taifa lipige hatua kubwa.
 
Alafu wewe huko kwenu nje ya Thika mna barabara ngapi za 6 ways Lanes?
Wacha nikutajie
1. Mombasa road. 50km
2. Waiyaki Way up to Rironi, 40km
3. Eastern bypass 30km
4. Jogoo Road 5km
5. Langata road 17km
6. Southern Bypass 27km
7. Western bypass 17km
8. Outering road 13km
9. Ngong road 16km

Yani offhead tu nishafikisha 215km Nairobi pekee na hata sijataja zote. Saahiyo sijaingia Mombasa. Hap Dar is slum ukifikisha 100 itakuwa miujiza.
 
Back
Top Bottom