Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya, wacha nikutoe ujinga sasa.
Hizo picha ulizopost ni za Dege Eco Village. Hiyo sehemu haipo kwa region niliyohighlight. I stated clearly hiyo region iko South of Kigamboni na halina barabara za lami. Hiyo barabara ya Dege eco inaitwa Malindi road na inaishia hapa, haindi moja kwa moja hadi Southern end of Dar es Salaam. Tazama.

View attachment 3182733

Hilo eneo la Geza Machinga lipo sehemu za North, halipo sehemu niliyohighligh.towards the south

View attachment 3182736
Kutoka Kigamboni haina Barabara hadi now sijui South wala nini?

Unatuona wajinga au?

Hapo ulipochora Kibada haipo? Geza na Dege Eco haipo?

Toka Mwanzo ulisema Kigamboni haina Barabara uoneshwe, hukusema South area uligeneralize Kigamboni, RRONDO alipokudaka ukaanza ni south na ukaja na Kamchoro kabisa.

Umeanza kuumbuliwa ndio unaenda kujieleza sana, sasa hapo nilipopin hapapo kwenye ulipohighlight?

Ujuaji mwingi

1000209898.jpg

1000209888.png
 
Mtu ana julius nyerere hydropower station,brt phase 2,3 na 4 zikiendelea kujengwa,bus terminals za maana,electric train,hivi vitu kundudwellers nzima mnaishia kuviona kwenye movies hapo kati yake na ww nani anajifariji?
Eti hydropower station!! Wewe kweli kilaza! Hivi, wamaanisha Kenya hakuna hydropower station ama unamaanisha nini? Hivi bongolala, are you even aware that Kenya produces more electricity than Tanganyika and that more than half of it comes from hydropower?
 
Kuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.
 
Hata kwa macho ya nyama tu, you can clearly see Kariakoo is almost two times the size of Nairobi cbd. 😂😂😂
So siku hizi distance on maps is measured by naked eyes, not scale? Hivi, wewe ni Moja ya products za elimu ya Tanzania ama ulisoma kwingine?
 
Kuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.
Can you give me yours country's total energy generation figures we compare notes?
 
Huyo Willy Poul alitaka kuiga mchezo wa kiki hajui kuwa wasanii wa bongo wanajua huo mchezo zaidi yake; ha ha ha hawa nyang'au bure kabisa😁😎
Wakenya ni washamba ambao hawajui kuwa ni washamba....ni wale watu wajuaji ambao hawapendi kujishusha na kujifunza. Ndo mambo mengi yao yanafeli.
Hakuna kitu kenya wamefanikiwa wao kama wao bila mkono wa mtu mweupe au Mchina.

They are not creative, innovative, na hawana swagga za kikwao ..kimsingi hawana identity...wako too westernized ambayo ni mbaya sana kwa vipaji vyao, creativity, inborn talents ( hiz zinafichwa huko kwa sababu westernized minds zinafanya wasijione bora)

Hapo Tz ndo atazidi kuwapiga gap kwenye individual and out of formal education talents
 
Eti hydropower station!! Wewe kweli kilaza! Hivi, wamaanisha Kenya hakuna hydropower station ama unamaanisha nini? Hivi bongolala, are you even aware that Kenya produces more electricity than Tanganyika and that more than half of it comes from hydropower?
Elimu yenu iko chini sana,so hata sikushangai,maku kusanyeni vidam vyenu kundustan nzima azifikii hata nusu ya megawatts za nyerere dam
 
Kuhusu umeme heb kaa kimya mzee epuka uongo mdogo mdogo. 😂😂😂 sahii you aint even in competition to us. Sahii sisi we looking foward kushindana na SA huko kuhusu uzalishaji wa umeme.
Most of domolala (kunyan) hawajui kinachoendelea rufiji,tuwaache waendelee kupiga domo sie tunapiga hatua kimya kimya
 
Huyo NairobiWalker nilimwambie atembelee Dar...mimi najitolea kumhost... tena aje na yule Rafiki yake..

Maana anajiabisha bure hapa kurely kwenye google maps kucompare Dar and Nairobi.
Ni yeye anasema Kigamboni haina lami!!!

Nina uhakika atafunga ilo Domo lake.
Huwa nawaangalia wakenya wa humu wanavyoiongelea Dar nabaki kujiuliza ni Dar gn wanayoiongelea, mana tourists wanatoka kwao huko ulaya wakija hapa hawataki kuondoka. Kuna siku mama mmoja wa kitanzania anaishi England alikuwa anarudi UK na wanaye wawili, mmoja wa kiume mdogo mwengine wa kike(hawajawahi kuja bongo) sasa yule wa kike siku waliyokuwa wanarudi UK alimwambia mama yake atangulie yeye atakuja airport, aloo muda wa safari umefika yule mtoto anapigiwa simu na mama yake kagoma kuondoka, yupo na wenzie wapo coco beach, akamuambia mamaake wazi wazi kwamba aondoke tu yeye hajapanga kuondoka siku ile, yule mama alilia sn, but hakuwa na jinsi ilibidi aondoke aisee.
 
Back
Top Bottom