yani kwa project zinazoendelea dar na tz kwa ujumla kwanzia majengo mpaka infstructure, bongo haikamatiki na hilo wanalijua vzr sanaJamàa wapo tuliiii,utadhani wanaangalia movie za "X"![]()
Kiboko ya UAP
Mi nasubiri TV yako ya kichogoMwarabu......Zanzibar port ata 10000 tonnes haifiki..tanga 450000 dar 12 million ....Tanzania combined 13.8 million..Mombasa 28 million...mlirogwa nini?
Unique
Ndûma it is yani arrowroots.Ninapokuwa kenya that's my favorite food, yaani mukimo na ndoma
Tuliza buda utahema ukikimbizana na Mombasa.peninsula plaza kazi imeanza😀😀
View attachment 654013 View attachment 654014 View attachment 654015 View attachment 654016 View attachment 654017
The same road Tena?noble plaza going up
View attachment 653995
Daah mkuu umenifanyanicheke sanaWASANII WENGI WA KENYA HAWAJUI KUPENDEZA:
sote tunajua kwamba showbiz sio tu kuwa na kipaji cha kutunga, kuimba,kuigiza au kuchekesha bali pia ni namna gani msanii unaji-package katika muonekano mzuri.
mimi ni shabiki mkubwa wa miziki ya kenya,ila ninakwazwa na namna wasanii wa kenya wanavyojiweka kimuonekano.
ukweli wasanii wengi wa kenya hata wale ambao mimi nakubali kazi zao,hawajui kuvaa wakapendeza, wengi sio wasafi,pia hawajui ku-brand muonekano wao.
mfano mdogo ni hawa vijana watatu wa kikundi cha h_art the band.
hawajipendi,wapo rough sana na wachafu sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
katika hili,wasanii wa tanzania wanastahili sifa,wengi wao wanajua kuji-keep up with popular trending fashion.
our artists are fashionable,they know how to brand their image with some nice and fredh outfits.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wasanii wa kenya wana jambo la kujifunza toka kwa wasanii wa tanzania.
ikumbukwe mashabiki wakubwa wa mziki duniani ni watoto wa kike.
kwa uvaaji wa hovyo na muonekano mbaya wa wasanii wa kenya,sishangai kwanini "mamanzi" wengi wa kenya hupagawishwa na wasanii wa bongo hususani kiba na diamond.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
makala hii imeandikwa na kadoda11 wa jamiiforum.
wasanii wa kenya wanaamini ili ufanikiwe katika sanaa yako, sio lazima upendeze,bali ujue kuzungumza kingereza.Daah mkuu umenifanyanicheke sana
Hao maninja....daaah kwelo shida![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

majirani wakiendelea kuchimba visima toka mwaka 2014 mpaka leo sisi tunakamilisha miradi
View attachment 653757 View attachment 653758