Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WASANII WENGI WA KENYA HAWAJUI KUPENDEZA:

sote tunajua kwamba showbiz sio tu kuwa na kipaji cha kutunga, kuimba,kuigiza au kuchekesha bali pia ni namna gani msanii unaji-package katika muonekano mzuri.

mimi ni shabiki mkubwa wa miziki ya kenya,ila ninakwazwa na namna wasanii wa kenya wanavyojiweka kimuonekano.

ukweli wasanii wengi wa kenya hata wale ambao mimi nakubali kazi zao,hawajui kuvaa wakapendeza, wengi sio wasafi,pia hawajui ku-brand muonekano wao.

mfano mdogo ni hawa vijana watatu wa kikundi cha h_art the band.

hawajipendi,wapo rough sana na wachafu sana.
bbc1dd710b7dd7a2338c4796af24c14c.jpg
fe8c63b3d0e44db7a993cdf255c8c69c.jpg
9f227fd51f4d90d53bb25460ac6fa3e4.jpg
d79ec08c14750afffe555b551bd15d33.jpg
de25ff9922215cbf3e04660955b18771.jpg

katika hili,wasanii wa tanzania wanastahili sifa,wengi wao wanajua kuji-keep up with popular trending fashion.

our artists are fashionable,they know how to brand their image with some nice and fredh outfits.
d124a5d25edf177009e4a1d260d00985.jpg
6ad3564ad30a3c9ee1041d8e2904e5ad.jpg
fd1fbaa09d85b6a3eefa09dd6aaabb50.jpg
18ca45c41372ff6a133ae80f5a20169e.jpg
0e3bfe57fe83e4a4ac1877b2ed71ca9f.jpg
887a577be28e11807b8e6f101579aea0.jpg
77f1b7fca93579ddf1cd3c761019dd1e.jpg
df125960a627fb6b234ce3321fba1c2e.jpg
0300280f08077c007b777cec3722d7d7.jpg
4a6c58cc8ba7de379af06548b0e15b85.jpg

wasanii wa kenya wana jambo la kujifunza toka kwa wasanii wa tanzania.

ikumbukwe mashabiki wakubwa wa mziki duniani ni watoto wa kike.

kwa uvaaji wa hovyo na muonekano mbaya wa wasanii wa kenya,sishangai kwanini "mamanzi" wengi wa kenya hupagawishwa na wasanii wa bongo hususani kiba na diamond.

makala hii imeandikwa na kadoda11 wa jamiiforum.
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
 
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
Hahaha take your time hapa read hizo comments za wakenya wanavyokubali Tanzanian musicians patriotism wakenya wamejaa tele wanataka adopting utanzania

Full video
 
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
And yet they are doing well internationally,
Now if we Talk of African Music we Talk of 1.Nigeria
2.Tanzania
Kenyan Musicians ni wachafu sana, weird outlooks and weird Music, wanataka wacopy Jamaica but they aren't good enough,
Ukiachana na yule jamaa ameimba

'upo sawa na, wote malaika na mabawa yao, wote wanakuiga we ndo mama yao, ni wewe nachagua sisemi nao, sisemi,

Wengine siwajui aisee, even sauti Sol is dead sababu ya kukopi vitu za Marekani wakati uwezo mdogo
 
Hivi huyo aliemba hivyo ni mkenya kumbe me huwa nadhani ni mtanzania?
 
Your musicians are never proud of your country..zero patriotism they try to copy Nigerians shoot movies in south Africa...etc..Kenyan musicians do Kenyan and are proud of kenya
Not only shooting in South Africa and Nigeria, but also they shoot in USA, UK, Sweden, Jamaica etc. Tanzanian Music is international. Tunataka kuwafikia watu wote duniani wajifunze kiswahili. Language of unification(Kiswahili). Baada ya kuteka Africa, tunahamia ulaya na marekani na kisha asia. Hii ndiyo vision ya Tanzanian music.
 
As for Tanzania, they need to avoid protectionist policies with regard to economic management and welcome all the investors (including Kenyans) with open arms.
.
Nyerere once said, "It is nonsensical to think that governments should give up the direction of it's development to private investors, unregulated!".

All those so called first world countries regulate their economy. Do you have any idea how strict emission standards are in the state of California? Do you think they let all car makers do what they want because its a free market economy?

I'm stunned by how deluded some of you Kenyans are?
This is the surest way you can develop your country by taking advantage of smart minds from the outside.
.
So you are saying that you can't get smart people from within a country? How about this, Tanzania was able to strike a good mining deal, no other country in Africa has ever done that, and guess who did it! Our people.
The economy must also be structured to be private driven rather than government led, that is a model for success of any country's economy.
.
It's funny reading what you say about governments while the very method (the Internet) you use to communicate, was created by the government.
 
PPF HQ nasikia ndiyo Tallest Building in Dar es salaam nadhani ni zaidi ya 40fl.
Kipind tunafanya field tuliambiwa itakuwa tallest in Dar
Ila wakiishia 40 watakuwa below kidogo ya TPA ambayo nayo ni 40flrs na ni 178m
 
Back
Top Bottom