Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sky tower 😀😀😀😀 sio render
IMG_0156.JPG
 
Mimi nimesoma na wakenya mademu wao wana shobo sana kwa wabongo, mademu zao karibia wote ni walevi wenyewe walikua wani ita keroro na siyo ajabu kuvuta fegi au bangi.

Ila hii ishu ya wizi ni true story hapa sileti masikhara.. Masela wa kikenya walikua wanakuja na nguo walizo vaa tu chini wana safari boots na kapero na empty bag. Siku ya kufunga xul wana ondoka na mizigo kibao .

Wenyewe walikua wanajiita Maboyz wa nguvu!! yani ni agressive mpaka wamepitiliza. Una eza ukawa rafiki yao ila ukizubaa tu wanakuibia, wenyewe wana kwambia "msee kua radar time zote" . Ila walikua wana nibamba n i made many Kenyan friends.



utakaa rada my fren....hahaha.Weka vizuri ama uwekewe.......
 
Back
Top Bottom