El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
some boring foreign mall
Niwapuuzi sanawasanii wa kenya wanaamini ili ufanikiwe katika sanaa yako, sio lazima upendeze,bali ujue kuzungumza kingereza.[emoji23]
usafi sio issue kwao....wale jamaa ni wachafu bhana.[emoji23]
Hart the band huvaa style ya 80's.WASANII WENGI WA KENYA HAWAJUI KUPENDEZA:
sote tunajua kwamba showbiz sio tu kuwa na kipaji cha kutunga, kuimba,kuigiza au kuchekesha bali pia ni namna gani msanii unaji-package katika muonekano mzuri.
mimi ni shabiki mkubwa wa miziki ya kenya,ila ninakwazwa na namna wasanii wa kenya wanavyojiweka kimuonekano.
ukweli wasanii wengi wa kenya hata wale ambao mimi nakubali kazi zao,hawajui kuvaa wakapendeza, wengi sio wasafi,pia hawajui ku-brand muonekano wao.
mfano mdogo ni hawa vijana watatu wa kikundi cha h_art the band.
hawajipendi,wapo rough sana na wachafu sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
katika hili,wasanii wa tanzania wanastahili sifa,wengi wao wanajua kuji-keep up with popular trending fashion.
our artists are fashionable,they know how to brand their image with some nice and fredh outfits.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
wasanii wa kenya wana jambo la kujifunza toka kwa wasanii wa tanzania.
ikumbukwe mashabiki wakubwa wa mziki duniani ni watoto wa kike.
kwa uvaaji wa hovyo na muonekano mbaya wa wasanii wa kenya,sishangai kwanini "mamanzi" wengi wa kenya hupagawishwa na wasanii wa bongo hususani kiba na diamond.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
makala hii imeandikwa na kadoda11 wa jamiiforum.
Ha haa usinifurahishe....huu ni uchafu aisee wazee wa zamani walikuwa wanajipenda walikuwa smartHart the band huvaa style ya 80's.
wewee ni mzee lakini hata huoni.
niliwahi kuwasikia wakisema kwa interview flani
Hahaaa.. maboyz wa stregth walikua wana kwachu kila kitu. Ukizubaa tu wanasanya. Kipindi cha njeve nimwendo wa mafegi..[emoji2]utakaa rada my fren....hahaha.Weka vizuri ama uwekewe.......
Hart the band huvaa style ya 80's.
wewee ni mzee lakini hata huoni.
niliwahi kuwasikia wakisema kwa interview flani
Na amekuwa akipendeza sababu ya kumix wazazi mmoja mbongo mwingine mkenya....hvyo nahisi ile trip yakujahuku kuwasalimu ndugu wakwaupande wa maza wake moja kwa ikabidi aadupt baadhi ya vitu from bongo ikiwemo mitupiomwanamziki pekee nchini kenya ambaye alikuwa anapendeza kimavazi na kujiweka msafi ni prezoo.
sema tu vile kimziki kashuka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na amekuwa akipendeza sababu ya kumix wazazi mmoja mbongo mwingine mkenya....hvyo nahisi ile trip yakujahuku kuwasalimu ndugu wakwaupande wa maza wake moja kwa ikabidi aadupt baadhi ya vitu from bongo ikiwemo mitupio
Ila nawasiwaai laiti prezoo wazazi wake wote wangekuwa na asili ya kenya naye pia angekuwa mchafu tu..[emoji3] [emoji3]
Guys u need to see this mall [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]another new mall kigamboni
View attachment 653978