babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,729
Kwaiyo wale zombies of Nairobi na matajiri East Africa?Financial inclusion gani while Tanzania ndio iko na maskini wengi in East Africa?
Hao jamaa sijui vichwani mwao Kuna Nini hivi serikali yenye mkono mrefu inashindwa kwadhibiti hao kenge wanaohujumu mradi?Huoni ni usenge ujipe credibility ya mradi wa mwanzilishi full electric alafu baadae utuletee ngija ngija huku kuna vichwa LUKUKU vya UMEME.
Mzee alijua mradi unaenda bila noma ndio maana kujaza umeme tu. Wajinga wakaja na "mama mama". Huku kuna hujuma inaendelea bado wanatetea ujinga.
Wengetoa excuse gani? Imagine hudili na tatizo la Hujuma, hitilafu, mapema tu unataka kuleta vichwa vya Diesel. Kama si ufala nini.
Ni mara mbili tu treni imekwama kwasababu ya umeme. Mara ya kwanza sabotage walivyokata waya na ya pili national grid failure. Mara zote nyingine ilizokwama ni system failure kwenye uendeshaji TRC na hii ni kwasababu ya ugeni na training hafifu. Lakini treni ikikwama kitu cha kwanza wanazi wanafikiria ni umeme umekatika. Ni kama gari ikikwama tu useme mafuta yameisha kumbe kuna matatizo mengine mengi tu yanaweza kusababisha.Ooh thanks for clarifying.
That's great.
Hope wawe na njia za kudeal na tatizo sio waje na solution ya kijinga. Wakiacha tatizo.
Tunakujua wewe unachuki na wasukuma. Huna lolote. 🤣 🤣Kadogosa na genge lake walisema ikitokea umeme unakatika, vichwa vitabaki kuwa na uwezo wa kuendelea kutembea kwa masaa yasiyopungua mawili maana vina uwezo wa ku-store power! Kadogosa anatakiwa kujiuzulu na kushtakiwa kwa hili!
Wewe ni wazimu. Dar Iko na twin towers ngapi ndio tuseme kila jengo lenu ilikuwa ni twin tower? Do they even reach three?Mlikuwa mnatucheka mkisena kila jengo refu tunajenga twin towers sasa hivi mnaruka?
Karibu majengo yote marefu ni twin towers mkuuWewe ni wazimu. Dar Iko na twin towers ngapi ndio tuseme kila jengo lenu ilikuwa ni twin tower? Do they even reach three?
Endelea kuamini hivyo huku ukiahangaika na maisha ya Tandale kwa mfuga mbwaMaisha mazuri ya kunyonyesha puppies na sex slavery 😮
Okay bongolalaKaribu majengo yote marefu ni twin towers mkuu
Acha kutetea uozoHiyo ni old Dar and we are proud of it.
Hapo diversity ya Dar es Salaam inapoonekana.
Dar kuna Uptown kuanzia Azikiwe street kwenda hadi baharini hadi kuvukoni...uko utakuta offices nk
Kuna old Dar es Salaam nyuma tu ya Askari Monument, kisutu, nyuma ya hizo tower hadi mnazi mmoja park
Kuna Downtown tuseme ambayo ndo kariakoo yote
Kuna upanga ambayo ni residential iliyopo karibu sana
Sio lazima kila miji ifanane vinginevyo ni ushamba na ukosefu wa exposure
Vya kenya ni kenya vya Tanzania ni east Africa, koti la mwenzako mwachie mweyeweUnaongea nikama ilipewa visa ya kuingia Tanzania. Munakuanga wajinga sana. 🤣 🤣 🤣 Na kwani Tanzania haipo East Africa ama? Mwanaume mzima unalilia vitu vya kipuzi kama mtoto.
Sasa kwani ni uongo mzee.?Okay bongolala
Tell me how this building below (mnf) is a twin towerSasa kwani ni uongo mzee.?
1.PSPF twin towers
2.LAPF twin towers
3.BOT twin towers
4.MNF twin towers
5.MZIZIMA twin towers
Niende Lee.?
Conjoined twin towers!Tell me how this building below (mnf) is a twin tower View attachment 3176464
Kwa mfuga mbwa ni Manzese, mimi nakaa huko.Endelea kuamini hivyo huku ukiahangaika na maisha ya Tandale kwa mfuga mbwa
Article imeandikwa Zanzibar, Tanzania. Unalia nini sasa?Vya kenya ni kenya vya Tanzania ni east Africa, koti la mwenzako mwachie mweyewe