Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofauti ya hizo sehemu mbili ni nini? Si zote uswazi?
Sisi tunatawala dunia Kimya kimya. Hatuna makelele. Kenya hata kwa touch haionekani.

1734183180811.png
 
HAta ulaya zinakwama sana basi tu, kwetu siasa zimetawala mimi bado nassuport kuongeza vichwa vya dizel haijalishi kama tunarud nyuma au laah . Kuna unforseen contingencies .
Huu mfumo ndo kwa umeletwa kwetu bado changamoto ni nyingi , sidhan hata kama mafundi washabobea , ni kama mabasi ya yutong yalivyoingia nchini yalitutesa sana njiani [Green star) ila tulivyokuja kujua uendeshaji wake ndo yamebaki ndo mabas reliable kuliko hata hizo Nissan diesel
Ni mara mbili tu treni imekwama kwasababu ya umeme. Mara ya kwanza sabotage walivyokata waya na ya pili national grid failure. Mara zote nyingine ilizokwama ni system failure kwenye uendeshaji TRC na hii ni kwasababu ya ugeni na training hafifu. Lakini treni ikikwama kitu cha kwanza wanazi wanafikiria ni umeme umekatika. Ni kama gari ikikwama tu useme mafuta yameisha kumbe kuna matatizo mengine mengi tu yanaweza kusababisha.
H
 
Kundustan wanatamani ila hawana pesa yaani Hadi Burundi,Malawi,Equatorial Guinea,Cameron etc imewashinda 😆😆👇👇

View: https://x.com/Kenyans/status/1867846375171666359?t=Yz5_CXJqNx3m1wnApIWLsw&s=19

Yani hawa wanuka mavi wahamishe capital city from naislum alafu waipeleke wapi, wana pesa ya kufanya hivyo? Nairobi ndiyo mji wao pekee wa kupiga vipicha vya upande upande na kuongopea watu, miji mingine yote inakaa ushago, wana pesa za kuibadili hiyo miji iwe kama Dodoma?
 
HAta ulaya zinakwama sana basi tu, kwetu siasa zimetawala mimi bado nassuport kuongeza vichwa vya dizel haijalishi kama tunarud nyuma au laah . Kuna unforseen contingencies .
Huu mfumo ndo kwa umeletwa kwetu bado changamoto ni nyingi , sidhan hata kama mafundi washabobea , ni kama mabasi ya yutong yalivyoingia nchini yalitutesa sana njiani [Green star) ila tulivyokuja kujua uendeshaji wake ndo yamebaki ndo mabas reliable kuliko hata hizo Nissan diesel

H
Basi kweli wew ni chawa
 
Sio PR ila management ni mbovu! Huwezi niambia walikuwa hawajui specifications ya locomotives wananunua maana walitueleza wenyewe!
Mkuu kwa mradi kama wa sgr trc ni walipaji tu ppra ndo kila kitu, hakuna manunuz ambayo unaweza fanya bila kumshirikisha mwanasheria mkuu na specification lazima ppra wazipitie kwa ishu ya kadogosa labda hatujui ni jinsi gani ilivyogumu kuongozwa na wanasiasa. Ukitaka ujue ugumu ebu jaribu kuitwa Laac au pac . Haya mambo tuyaache ila laity ingekuwa walau kuanzia madiwan mpaka wabunge tunachagua walioenlimika kidogo na wasio nanjaa walau kidogo ingekuwa nafuu.
 
Back
Top Bottom