Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Toka lini mkenya akamiliki akili mkuu?
Watu waliouawa na police sababu ya curfew restrictions na njaa kutokana na lock down ni wengi kuliko hata wa covid propaganda
Huu upumbavu ni Kunyaland tu 😂😂😂
View: https://x.com/AJEnglish/status/1244222396162363392?t=AMHb78lv0nL-PNHv4udj4A&s=19
Your idiot President was killed by COVID-19. Watanzania wengi walikuwa wanaokotwa kwa barabara wakubwa wamekufa kama Mende.