Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua maana ya 'BACK UP' ? Walipanga siku nyingi kununuan za diesel hasa za mizigo. Bahati nzuri reli yetu unaweza kutumia hata treni ya diesel, yenu hamuwezi kutumia ya umeme. Endelea kuumia.
Watu wanapotosha sana au wanasoma vichwa vya habari tu...
Ishu ni kwamba kile kipande cha kutoka Banda la ngozi mpaka bandari hakitakuwa Electrified bali watatumia diesel locomotives mpaka hapo...hawataki mifumo ya umeme iingiliane na mfumo wa bandari.

Yaana ukiingia tiktok wakenya wamefurahi hicho kichwa cha habari kama vile nchi yao ndo imefungua SGR ya umeme...Roho Mbaya tu
 
Anyway wakuu no matter what excuse kutuletea DIESEL ENGINE kwa SGR ni ujinga haukubaliki.

Kama wanawashwa na DIESEL kuna MGR na TAZARA wazifufue huko.

WAMESHINDWA KAZI NO MATTER WHAT, KAMA TATIZO NI KUKWAMA ALAFU CHANZO UNALETE ETI UMEME MARA WAYA KUIBIWA why USIDEAL na TATIZO, kama ni umeme ondoa SGR GRID ya TAIFA uwe unajitegemea from JNHPP. Kutoka RUFIJI HADI MRADI WA SGR sio mbali.

KAMA NI WATU MBONA USITUMIE VYOMBO VYA DOLA KUDEAL NAO KWA MKONO WA CHUMA?

Wameshindwa hivyo vyote wakaona kutatua tatizo ni kutuletea Diesel kutugeuza Laughingstock?

Sasa tunapopeleka SGR watatuchukuliaje?

KADOGOSA YUPO, WAZIRI WA UJENZI YUPO na wamekuja na SOLUTION YA KULITIA AIBU TAIFA?

Kama kichwa cha DIESEL kilikua kwa mpango mngekileta mapema kabisa. Not now.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

1000206606.png
 
Most hotels in Tanzania are managed by Kenyans.
Most international schools in Tanzania are filled by Kenyan teachers.
Kenyans have leased big farms in Tanzania where they do cash crop farming.
Kenyans are many in Tanzanian banking, insurance and other service industry sectors.
Só who is the boss here ?
 
Watu wanapotosha sana au wanasoma vichwa vya habari tu...
Ishu ni kwamba kile kipande cha kutoka Banda la ngozi mpaka bandari hakitakuwa Electrified bali watatumia diesel locomotives mpaka hapo...hawataki mifumo ya umeme iingiliane na mfumo wa bandari.

Yaana ukiingia tiktok wakenya wamefurahi hicho kichwa cha habari kama vile nchi yao ndo imefungua SGR ya umeme...Roho Mbaya tu
I hope upo sawa, kama ni hivyo why wasingejitokeza kukanusha na kusema hivyo.

Ukizingatia VIVUKO na MWENDOKASI wameshindwa mpaka wanawaza wawekezaji.

Taarifa kama hizo zinaleta ukakasi.

Wajitokeze kukana.
 
Só who is the boss here ?
Wewe fala Tangu uniambie kukula na bibi ni achievement I don’t have anything else to say to you. I thought you were smart Kumbe ni wewe kumbafu kuliko watanzania wote in this thread. Go and look for your fellow idiots to discuss with.
 
Back
Top Bottom