NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
Source - Tandale Gossip. 😂 😂 😂
Source - Tandale Gossip. 😂 😂 😂
Unaumia ukiwa wapi?Huku ndio kwenu, home grown-ups sio hiyo Scania assembled imported peaces, mkenya hajapata bado akili ya kutengeneza kitu cha maana bado mnaevolve
View attachment 3175925View attachment 3175926
KAA unaita gari la jana? Wewe mwehu nini?Umeona hapo BBI unaijua bila shaka mambo ya HANDSHAKE. Ya jana tu hapa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 3175921
The bosses are mostly outsiders (Wazungu, Wahindi na Waarabu). Mtanzania mgani anamiliki 5 star hotel?Só who is the boss here ?
Umesahau kuongeza wakenya kwenye Hilo kundi.The bosses are mostly outsiders (Wazungu, Wahindi na Waarabu). Mtanzania mgani anamiliki 5 star hotel?
Hio "Built in Kenya" inawauma mbaya sana. 🤣 🤣 🤣
Hujaelewa, yeye alisema picha ya 2001 ila hilo gali chini kuna BBI, bila shaka BBI HANDSHAKE mnazijua ni za liniKAA unaita gari la jana? Wewe mwehu nini?
Hawapendi ukiona hapo lakini vile watafanya sasa😂😂Hio "Built in Kenya" inawauma mbaya sana. 🤣 🤣 🤣
Don’t just guess things. Nani amekuambia BBI automatically means handshake? That bus was there before handshake and the meaning of that BBI is “Beauty By Imagination “Hujaelewa, yeye alisema picha ya 2001 ila hilo gali chini kuna BBI, bila shaka BBI HANDSHAKE mnazijua ni za lini
Acha papara kitu hiyo safi
View attachment 3175945
Watakopa tena kulipa nguvu ili waonekane wapo juu, hii nchi baada ya miaka miwili itarudishwa LDC.
Wacha nilist kadhaaUmesahau kuongeza wakenya kwenye Hilo kundi.
Acha kukwepa we mkunya.Don’t just guess things. Nani amekuambia BBI automatically means handshake? That bus was there before handshake and the meaning of that BBI is “Beauty By Imagination “
Zipo zinazokaribia ila huu kiboko.Hivi kuna uzi unaouzidi huu kwa umaarufu.?
Hivi wewe kiazi umeelewa swali nmekwambia taja mazao ya biashara Tanzania yanalimwa na hao foreignersTanzanians mainly do subsistence farming, large scale farming in Tanzania are done by foreigners Kenyans included.
Tanzania sio Kenya ambao mlipewa uhuru wa kisiasa lakini uchumi na ardhi mkawaachia wazunguTanzanians mainly do subsistence farming, large scale farming in Tanzania are done by foreigners Kenyans included.
Sasa ndiyo ulete ushahidi ili ku dispute ya mwenzio, usiongee vitu sensitive bila kuwa na ushahidi wa kuaminika.Ebu post hiyo source tuione. They's no way you can have more mobile transactions than Kenya buana. Hiyo hata unajua. Hapa Kenya some of us the last time tulishika hard money ni more than 5 years ago. This is a cashless economy. In fact our mobile transactions are more than those of East Africa and Southern Africa combined.
Eti mzungu aende ulaya mwafrika apate uhuru (mau mau) na bado hawa nyang'au wanalilia kujiita wazungu weusi ha ha ha😁Tanzania sio Kenya ambao mlipewa uhuru wa kisiasa lakini uchumi na ardhi mkawaachia wazungu
Upumbavu sanaaaa.Haya Basi wale machawa njoo tusifie Kichwa kipya cha Diesel.
Wapumbavu sana, mmeshindwa manage SGR tu bado mnataka tuwape credibility ya mradi.
VIVUKO vimeenda,
MWENDOKASI HOI
SGR mnaenda imaliza, like seriously kuona moshi wa Diesel kwenye reli yetu ni ujinga mkubwa sana.
Umeme kukatika katika huku watu wanakata waya mnawachekea.
Kwahiyo treni ya mzigo itakuwa diesel?Watu wanapotosha sana au wanasoma vichwa vya habari tu...
Ishu ni kwamba kile kipande cha kutoka Banda la ngozi mpaka bandari hakitakuwa Electrified bali watatumia diesel locomotives mpaka hapo...hawataki mifumo ya umeme iingiliane na mfumo wa bandari.
Yaana ukiingia tiktok wakenya wamefurahi hicho kichwa cha habari kama vile nchi yao ndo imefungua SGR ya umeme...Roho Mbaya tu