ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Whats the main occupation of Kenyans in Bongo sending money… am curiousFor your information 56% of our remittance come for USA where Kenyans are mostly engineers, doctors and lawyers.
View attachment 3175482
Pale kigambon wamezidiwa na order kwa miezi michache tu washavuka order za mwaka mzimaHalafu Mkunyirenda anabaki na kelele za ku-asemble!
Kundustan wakiona hii watasema nyangumi Yuko Mombasa 🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DDecVlatfeS/?igsh=MXEzeXcwYTdzanQ4Yw==
Huwa wanafosi tunafanane ila ndo hivyo haiwezikani hata wafanyaje.Unajua maana ya 'BACK UP' ? Walipanga siku nyingi kununuan za diesel hasa za mizigo. Bahati nzuri reli yetu unaweza kutumia hata treni ya diesel, yenu hamuwezi kutumia ya umeme. Endelea kuumia.
Wanafikiri ile mchongoko aka joka tutalitupa baada ya kuleta diesel engines! Au zikija diesel engines zitakuwa slow kama lile nginjanginja lao la mwaka 1912Huwa wanafosi tunafanane ila ndo hivyo haiwezikani hata wafanyaje.
Nyangumi wa buluu....au nyangumi wa samawati ha ha ha haNyangumi is the common name for whale … right?.. but there are many species of Whales… so what do you call a Blue Whale ?
You really dont know? Teachers,bankers,marketing/sales exec/officers in large,medium and small companiesWhats the main occupation of Kenyans in Bongo sending money… am curious
Nyangumi is the common name for whale … right?.. but there are many species of Whales… so what do you call a Blue Whale ?
Most hotels in Tanzania are managed by Kenyans.Whats the main occupation of Kenyans in Bongo sending money… am curious
Mmeanza kukunja mkia mkiongelea mambo ya diesel sasa. Mnajua tu vizuri huko ndiko mnakoelekea😂😂🤣🤣Unajua maana ya 'BACK UP' ? Walipanga siku nyingi kununuan za diesel hasa za mizigo. Bahati nzuri reli yetu unaweza kutumia hata treni ya diesel, yenu hamuwezi kutumia ya umeme. Endelea kuumia.