Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Wapi tumepingana naye? Baba Levo alisema ukweli ati Dar ni kijiji kwa Nairobi and I fullagreed with him.Baba Levo alikua prophet wenu kipindi anasifia white elephant expressway ya mchina, leo anawakaanga with the same stamina mnamuona hazimo ๐๐๐