Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

University of Dodoma graduation 2024

20241208_143831.jpg
20241208_143835.jpg


University of Nairobi graduation 2024

images (6).jpeg
 
Lile jamaa pumbavu. Kama kawaida yake. 😂😂😂

Naseeb ilibidi apande ndio kisha Willy afuatie, uoga wa msanii wenu baada ya kupanda Chibu angekosa mashabiki juu after platnumz show, nani angebaki kumuona willee.? Kwa mziki upi.? 😂😂😂 willee is clever akasema Nop, nataka nipande mimi kwanza, that’s the reason alipigwa with your fellow kenyans. 😂😂😂
Sasa huyo willy Paulo mwenyewe amekiri kwamba Dmond ni msanii mkubwa duniani na ndiyo anajifunza kupitia yeye.
 
Kenyans are poor than Tanzanians yet you can't prove anything. On the other hand, I can prove that Tanzania has the highest poverty rate in the region. Ukitaka ushahidi sema nilete.

DGP per Capita is calculated by the world bank and it's available on their website free of charge. Hizi povu zako won't change anything.

Can you prove that Kenya is behind Tanzania as far as literary levels are concerned? Again, I can prove to you that illiteracy levels in Tanzania are way ahead of Kenya's.

Real paved road ndio nini? If you can't even pave roads in your 'high-end' estates in Dar like Mbezi bado uko na nguvu ya kuongea about paved roads?

You shouldn't even be proud of Tanzania selling electricity to Kenya. On the contrary, unafaa uhuzunike. Mbona uuze stima wakati hata wewe ujatosheleza mahitaji yako ya ndani huku trenj ikikwama kila siku kutokana na upungufu wa stima? Cha pili nchi unayouzia stima pia inakuzidi in both generation and consumption of electricity. Huoni huo ni ukilaza na upumbavu?

Middle-class yetu ni kubwa kushinda nchi zote ukanda huu. Najua inauma ila peleka malalamishi WB.

About real estate, Wacha kutuletea data ambazo zimepitwa na wakati. We're in 2024, not 2017. Do you know how many buildings above 20 floors are under construction (or in launching phase) in Westlands alone? They are close to 20. Wewe niambie ni majumba mangapi above 20 floors are under construction in Dar nzima kama utapata hata tano tu. Now, that should tell you the current real estate situation between these two cities. They are just worlds apart. Wewe endelea kujifariji na figures za 2017!!
Unaishi kwenye Utopia or something nyie jamaa mna KENYA yenu maalumu ambayo hatuji ilipo.

You are too poor mpaka mnakimbia na ugali in time of distress, you are too poor mpaka mnawekewa ruzuku ya unga wa ugali ambao ni bob kadhaa.

You are too poor kiasi kwamba roli hata ya soda za jero bongo ikianguka mnafakamia.

You are too poor kutumia Chai Maharage karne ya 2024 CBD.

GDP ya nyoko 80% ni madeni kinachobaki hata sisi tukilipa madeni surplus ipo juu same na Per Capita yenu, 80% ya Per Capita ni deni mnabaki na bob kadhaa.

Middle class ya kusubiri affordable housing ndio middle class gani au middle finger?

20 FLOOR ndio utajiri? Ukichaa huu.

Tukichukua pesa ya mradi mmoja bongo tunaweza watengenezea city mpya huko Ukunyani.
 
Matajiri. Alafu mnategemea mchina akabidhi baada ya miaka 30 kwa gari mbili tatu juu.

Wanajiita matajiri bob kadhaa zinawashinda.


View: https://vm.tiktok.com/ZMk8MHKSN/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok Lite - Save Data & Fast - Apps on Google Play

Aloo Kenya ni mavi, angalia hizo barabara za walalahoi hapo chini yn ni za walalahoi kweli kweli, no road markings, potholes kama ile ya kuchomea vitumbua, mavumbi plus dongo jekundu. Yani mwaka wa ngapi huu tangu mchina awajengee kabarabara kajuu lkn wao wameshindwa kujenga za chini duuhh 🚮🚮🚮🚮
 
Msikize Etana alivyoongea. Etana sii Mkenya ni Mjamaica. Wasanii wenu Wana dharau na soon watakiona. Mchezo ushaanza.


View: https://youtu.be/jdAUfzQvfaU?si=7GeBumZIdvAKxCgw

Huyo Etana anamjua nani, kwanza sio lazima kuwaita wasanii wa bongo waje kwenu ni shobo zenu na nikuambie tu hamtoweza kuacha kuwaomba wanamuziki wetu waje huko cz wakenya wanapenda mziki wa Tanzania kuliko mziki wowote, chuki yako haitosaidia kitu, kuhusu dharau ni kawaida kwa wanamuziki wakubwa ukiwaletea upuuzi wa kuvunja makubaliano hafanyi show.
 
Back
Top Bottom