much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,549
Sasa hao wawekezaji wanawekeza Nini kama bandari inajengwa na Serikali?
Kuna uhuni mkubwa unaendelea hapa nchini.Sasa hao wawekezaji wanawekeza Nini kama bandari inajengwa na Serikali?
Bandari haimilikiwi na DP world au andani group kwa ninvayoelewa wao uwekezaji wao ni kwenye machines na vifaa i think hvyo anyways hio ni POV yanguSasa hao wawekezaji wanawekeza Nini kama bandari inajengwa na Serikali?
If u had a control tower why building a second one to an airport that receives hardly flights? Means it is disfunctional!And a second tower is under construction at the Kisumu airport
View attachment 3169293View attachment 3169294
Mtu anajiita mwekezaji wa bandari harafu anaomba serikali imjengee bandari Sasa yeye anawekeza Nini?Kuna uhuni mkubwa unaendelea hapa nchini.
Anyway ngoja tukae kimya tu
We already have one which handles more passengers than Kilimanjaro airport.Aawapii wapi jengo la abiria?
I mean in that picture! As I recall kisumu local airport receives zero international flight!We already have one which handles more passengers than Kilimanjaro airport.
Try this one first!We already have one which handles more passengers than Kilimanjaro airport.
Try this one first!
View: https://x.com/daktarimtalii/status/1852640828293857747
As long as the total number of passengers passing through Kisumu airport is bigger than Kilimanjaro airport I don’t care.I mean in that picture! As I recall kisumu local airport receives zero international flight!
Kwani hawajasema? Soma kwenye taarifa zao mara nyingi tuu wanaweza.Hii storty ya 4 to5 days mbona ilikuwepo hata kabla ya DP world kuja, ?
Na kumbe berth zote ziko rented out kasoro ya mafuta
na wanataka tuongeze berth mpya ili wao wa rent
Watuambie mapato kiasi gani yameongezeka ?
Na pia zamani yalikuwa kiasi gani
plus dp world na andani wanalipa TPA NA TRA kiasi gani ku rent bandari for 20 years
Unajua maana ya SEZ? Au kongani ya viwanda? Serikali Huwa inajenga nini na wawekezaji wao Wanaleta nini?Sasa hao wawekezaji wanawekeza Nini kama bandari inajengwa na Serikali?