The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.Hii storty ya 4 to5 days mbona ilikuwepo hata kabla ya DP world kuja, ?
Na kumbe berth zote ziko rented out kasoro ya mafuta
na wanataka tuongeze berth mpya ili wao wa rent
Watuambie mapato kiasi gani yameongezeka ?
Na pia zamani yalikuwa kiasi gani
plus dp world na andani wanalipa TPA NA TRA kiasi gani ku rent bandari for 20 years
Umewahi sikia hela imepunguza huko TRA au TPA?Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....
Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.