Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuanzia viongozi wao hadi wananchi wote ni matapeli tupu

View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797

MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!

View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061

It’s time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!

Kuna uhuni Mkubwa unaendelea pale...ni suala la muda mambo yatakuwa wazi tu.
Magufuli alikuwa sahihi sana na wala hakuwa mjinga kila baada ya miezi miwili yuko pale bandarini tena anaenda kimya kimya bila taarifa.
Tungebaki na plan zetu tukiiboresha mdogo mdogo....

Tukiendelea hiv itafika 2050 bado tuko hapahapa na kaGDP ketu... bila kuwa na watu serious kufuatilia huu uhuni unaoendelea pale.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

sasa hvi hakuna uwajibikaji wala anaewajibisha kila kitu kunajiendea tu alimradi siku isonge miaka ipotee
kwasasa tumehamia kwenye kusifiana na kukopa mikopo ovyo ovyo tu
 
View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797

MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!

View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061

It’s time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!

sidhani kama atanunua tena bamburi coz tayar alibadilisha maamuzi ya kujenga kiwanda cha cement tanga na kuongeza upanuzu wa mbeya cement
 
I think you missed the point I was making….. someone on ur side came after me about my comprehension of the English language like it’s something weird about it and my response was in perspective to his knowledge of Swahili which as I put it has foreign influences too… but most of you Tanzanians act like Swahili originated from you wholly and we have no say in it …. At least I can attest that you have the grasp of history …

Perspective "to"🤔
Nifundishe kitu hapa.
 
😂😂😂😂😂😂👇👇
Screenshot_20241205-161108.jpg
 
Back
Top Bottom