Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo halipingwi kuwa makabila ya pwani zote za Afrika mashariki wamekua wakiongea kiswahili kama lugha asilia tangu karne za zamani.
Ila je chanzo kimeanzia wapi hadi kusambaa viunga vyote vya pwani nzima ya Afrika mashariki!??
Acha kumsapoti ujinga wake, kwa mujibu wa historia ya lugha, hizo dialect hazikua kiswahili, ispokua yalikuwepo maneno ya kabila hizo yenye they contributed to Kiswahili language that we have right now.
 
View: https://x.com/Abdulwahab_you/status/1831700288656535573

MY TAKE
South Sudan should be wise enough and consider EACOP as both Kenya and Ethiopia are not reliable routes!

View: https://x.com/BlairMusinguzi0/status/1861388438529769670

Sijui shida nini au ego mbona EACOP inaweza msaidia South Sudan kusave na anaweza kua na uhakika na usalama wa Bomba lao ukiona umepita Uganda na Tz nchi hizo zote zinachukulia EACOP kwa umhimu mkubwa.

Viongozi wengine Jau, naona kama siku hizi to be honest kama viongozi wetu wamepoa kwenye figisu hapa EA, ilitakiwa Salva Kiir asiondoke bila kumpropose hiyo kitu.
 
Figisu lipo baba hapo kuna Ethiopia anatumia ushawishi kaipa South Sudan fedha za Barabara! Ila Ethiopia haiko stable ina internal tribal conflicts! Hiyo pipeline itapita Oromo region!
 
Mzungu kawapa za uso huko! Tumewaambia Nginjanginja haliwezi mziki wetu.

View: https://m.youtube.com/watch?v=uIYaUTyJOio

1733215326059.png
 
Nimecheka aliposema "Ile mtoto niloifukuza kwa camera inaonekana kama ya miaka 45 akati ametoka kunyonya juzi"😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Hali ngumu ya maisha watu wanachakaa mapema. Si unamuona Teargas ni kijana mdogo sana lakini utafikiri yuko in his 50s 😁
Forgive me Teargas if you take it out of context but I am only stating the reality here.
 
Figisu lipo baba hapo kuna Ethiopia anatumia ushawishi kaipa South Sudan fedha za Barabara! Ila Ethiopia haiko stable ina internal conflicts!
Ndio hivyo sasa twende na mgongo wa usalama maana inapindulika dili tu. In long run tunaweza kua na sustainability ya uchumi ukiwa na nchi 2 zenye uhusiano mkubwa.

Cheki zambia kuna TAZAMA, TAZARA now UMEME. Ndio hivyo inatakiwa yaani unakua na mradi mmoja ambao nchi nyingine inautegemea sana ila upo nchi yako na nchi yako haina ujinga kama wa Wakunya kumdalalia mafuta Uganda
 
Kiukweli EACOP ina upperhand kwenye hili maana kutoka Unity state kulipo visima mpaka Lake Albert ni around 800km na Total ana oil fields huko wakati kwenda Lamu port au Port Djibouti ni zaidi ya 1500 km!

Uzuri huu mchezo huamuliwa na multinational oil giants na si wanasiasa! Ila naamini kama John Garang angekuwa hai huu mchezo ungekuwa ushaisha zamanii!
 
Back
Top Bottom