Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Progressive Country.

1732271393240.jpeg
 
Hawa wakenya ni wajinga sn, yn wanaona kabisa picha linapoenda kuishia lkn bado wanajitoa ufahamu, mmoja anakuambia eti electric powered sgr ya Uganda Ina features kama za fossil fuels a.k.a diesel jointed and outdated a.k.a upgraded mgr yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Majuzi si kuna wabunge walitoka Uganda kujifunza uendeshaji wa SGR, mbona hawaendi Kenya?
 
Haya ni maneno ya kuwafariji ng'ombe wa kunyaland ili wasilipuke na kuchoma moto mabanda yao... Hii ni ku counter news ya ground breaking ya huko Uganda...

Ndio mlichobakiwa nacho... Mdomo mdomo tu... Na saiv kunyaland imekuwa Nchi ya mazezeta... Ni mwendo wa kudanganywa tuu... Ukipinga ni kupelekwa mbinguni jumla jumla na genge la kina kibet...

Hivyo hata ukitetea hapa kuhusu kunyaland na kuelewa sana... Unaogopa kuwa abducted... Nabii anawanyorosha kweli kweli
 
Sawa mjinga.

View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1859202357210280323

View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1858559999846515139
 
Acha uongo wewe quack, Tanzania has more blackout than Ethiopia. Ethiopia has power surplus while Tz has no power to satisfy the nation.
Unadhani mimi taahira kama wewe!?
Embu tizama habari televisheni ya Africa news channel,hiyo Ethiopia bado haijaweza ku maintain umeme ndani ya nchi yake.
Sembuse ije isambaze umeme Tanzania!?
Shenzi wewe.
 
Tanzania imepakana na nchi nane, tukiwatoa nyinyi na Uganda zinabadi nchi sita, they all depend on us. Tunao mtandao mkubwa wa reli kuliko nchi zote za Africa mashariki zikiunganisha reli zao. Tunajenga SGR to link mataifa muhimu mfano Congo, sasa tuumie kisa nini nyinyi mkiunga Uganda budaa.? Mbona wewe ni mpumbavu mmoja.? 😂😂😂
Nchi sita za upuuzi!
Maskini.
 
Back
Top Bottom