President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,034
- 93,391
Mzee Uganda kwetu ni aditional tu. Target ya Tanzania is DRC and Burundi. Uganda haina madini ya kubeba mdogo wangu. Nendeni mkabebe Ndizi na Lubisi toka Uganda. 🤣🤣🤣🤣Yani wanaanzia malaba na bado jamaa zinabisha eti wataunganisha kwao.😂😂 Hawa majamaa bana. Hawa wanaweza kana mama zao ili washinde mjadala.😂😂