Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Kwani unadhani Tanzania ndio hakuongana? Nyinyi serikali yenu yote watapelekwa kotini😂Subirini mpelekwe London courts kwa ku-violate agreement! Goldenberg scandal II!
Kwani unadhani Tanzania ndio hakuongana? Nyinyi serikali yenu yote watapelekwa kotini😂Subirini mpelekwe London courts kwa ku-violate agreement! Goldenberg scandal II!
Habari kama hizi najua zinawauma sana😂😂Nmecheka sn kuna sehem nmeona kuna kichaa wa kikenya eti ka share article inasema treni itatoka Kampala-Malaba all the way to Mombasa,
So tell me, which/what benefit is Tanzania going to get from taking railway to the poorest country in the world?Uganda has never been our dependable market hata kwenye usafirishaji mizigo only a fraction of Uganda cargo passes via Tanzania. There is nothing for us to worry about Kenyan sgr connection to Uganda. EAC railway masterplan is to merge all these railway systems in order to have a seamless connection hivyo market forces will determine which route is profitable.
Pole sana. The train will be express from Mombasa all the way to Kampala.Hakuna namna Uganda ataruhusu polluting diesel leaking nginjanginja on its line mizigo yote itaishia malaba na kuungwa kwenye electric locomotive to Kampala
Cha muhimu ni upana wa reli, kama unafanana haina shida. Hata kwetu kichwa cha diesel kinatembea bila tatizo (si unakumbuka kile kichwa cha blu na njano cha Yapi Merkezi kilichoanguka na kubonyea upande mmoja)? kile kilikuwa cha diesel.Kwanza naomba kuuliza, hv imeshawahi kutokea duniani electric powered railway kuunganishwa na diesel jointed railway?
Teach that watchman proper leasons, jama hukuwa fala sana. Yeye udhani what determines the SGR is the means of locomotive powering.Cha muhimu ni upana wa reli, kama unafanana haina shida. Hata kwetu kichwa cha diesel kinatembea bila tatizo (si unakumbuka kile kichwa cha blu na njano cha Yarpi Markezi kilichoanguka na kubonyea upande mmoja)? kile kilikuwa cha deisel.
Aliuliza swali vizuri, akajibiwa, tatizo liko wapi?Teach that watchman proper leasons, jama hukuwa fala sana. Yeye udhani what determines the SGR is the means of locomotive powering.
Niliskia hakuna any Kenyan delegate aliitwa in the launching of Ugandan SGR😂😂👇👇
View: https://x.com/SuleimanRoba/status/1859968765930217817
Barabara za kenya ni bikini. 😂😂😂"We are far better than Tanzania as far as kilometers of paved roads is concerned"
On ground, vitu havikai 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3159314View attachment 3159315
Wakenya ni watu waongo waongo sana."We are far better than Tanzania as far as kilometers of paved roads is concerned"
On ground, vitu havikai 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3159314View attachment 3159315
We nae uliskiliza maneno ya yule mpumbavu. 😂😂😂Wakenya ni watu waongo waongo sana.
Sijui wanafaidika nini na uongo uongo.
Imagine mtu anasema ana paved Road network ya 22k km na Nairobi kimji Chenye 696 Sqkm kina km 7000. From Johannesburg mpaka Egypt ni km 8388...ila Nairobi pekee in km 7000...aloo! Kenyans
Yaani wana lami hadi Kwenye matendegu😂 Mzee wa Msoga aliwahi sema.Wakenya ni watu waongo waongo sana.
Sijui wanafaidika nini na uongo uongo.
Imagine mtu anasema ana paved Road network ya 22k km na Nairobi kimji Chenye 696 Sqkm kina km 7000. From Johannesburg mpaka Egypt ni km 8388...ila Nairobi pekee in km 7000...aloo! Kenyans
Barabara za kuhesabu, macho yangu yanaona tano🤣🤣🤣🤣🤣🤣Barabara za kenya ni bikini. 😂😂😂
Jamaa hajui what SGR is, ashaambiwa mara nyingi lakini bado imekataa kumuingilia. Give him time and see that watchman asking the same question yenye umemjibu leo.Aliuliza swali vizuri, akajibiwa, tatizo liko wapi?