Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buy Kenya Build Kenya.

1732289535173.jpeg
 
Miezi kadhaa imepita sasa Tunapenda kuhoji kama mradi wa SGR kipande cha Mwanza kimesimama au mradi unaendelea Maana siku zimepita bila kushuhudia wakandarsi wakifanya kazi katika mradi huo Mkubwa.​
Tunapenda kufahamishwa kama mradi unaendelea au umekwama kuendelea.​
Au Kuna changamoto ambazo zimejitokeza katika kutekeleza mradi huo.​

Hii ilikwama kitambo sana.
 
Utakufa before Uganda ifikirie kuunganisha their SGR na ya Tanzania, Najua mnaumia kupoteza soko kubwa kwa Kenya lakini hakuna kitu mtafanya kwa sasa😂😂😂😂
Uganda has never been our dependable market hata kwenye usafirishaji mizigo only a fraction of Uganda cargo passes via Tanzania. There is nothing for us to worry about Kenyan sgr connection to Uganda. EAC railway masterplan is to merge all these railway systems in order to have a seamless connection hivyo market forces will determine which route is profitable.
 
With EACOP passing entirely on Tanzanian territory n an uncontested chance the pipeline to connect to South Sudan n eastern DRC, we need only 30% of Uganda’s cargo to put Kundustan’s economy in disarray!
 
Uganda has never been our dependable market hata kwenye usafirishaji mizigo only a fraction of Uganda cargo passes via Tanzania. There is nothing for us to worry about Kenyan sgr connection to Uganda. EAC railway masterplan is to merge all these railway systems in order to have a seamless connection hivyo market forces will determine which route is profitable.
Kwanza naomba kuuliza, hv imeshawahi kutokea duniani electric powered railway kuunganishwa na diesel jointed railway?
 
Uganda has never been our dependable market hata kwenye usafirishaji mizigo only a fraction of Uganda cargo passes via Tanzania. There is nothing for us to worry about Kenyan sgr connection to Uganda. EAC railway masterplan is to merge all these railway systems in order to have a seamless connection hivyo market forces will determine which route is profitable.
Anakwenda kuwa mmoja kati ya washirika wetu wakubwa sn kiuchumi kuliko hata ushirika wake na Kenya, ushirika wa vitunguu, maziwa na ndizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna namna Uganda ataruhusu polluting diesel leaking nginjanginja on its line mizigo yote itaishia malaba na kuungwa kwenye electric locomotive to Kampala
Nmecheka sn kuna sehem nmeona kuna kichaa wa kikenya eti ka share article inasema treni itatoka Kampala-Malaba all the way to Mombasa, huu si uchale huu jamani wakenya wanaleta? Sisi tuliwaambia wakenya walikurupuka, now wamegundua we were and we are smarter than them, ili waunganishe reli yao na ya Uganda inabidi reli yao waiwekee cartenaries za umeme na hilo ili liwezekane inabidi waifumue reli yote kuanzia tuta waanze upya alafu waichomelee isiwe nginja nginja, kitu ambacho hakiwezwkani coz GoK haina hata pesa ya kujenga stadium ndiyo ijenge reli? Mkopo hawatopata mana hawakopesheki, hadi rahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom